Alikuwa bado anaujenga mfumo, moja ya mambo aliyoyafanya kuanzia alipomaliza uongozi wake, ni kuuwekea mizizi mfumo wake kwa kuwaondoa walikuwa wanazuia yale aliyokuwa akiyataka. Umenielewa?Lakini kwanini wakati wake haya hayakutokea??
Siyo lazima kuwe na moto ili maji ya chemke.Inategemea na ukubwa wa moto uliopo
Aandaliwe kiti chenye mkukiKikwete ndiye kashauri kilichotokea kitokee.
Atamalizaje tatizo wakati yeye ndiye tatizo?
Huelewi wapi?
Mahakana zilikuwa likizo asipelekwe Hadi ang'olewe meno?Alikua anahamasisha madaktari kugoma..na maana yake angepelekea watu kufa..jambo ambalo hata ungekua kwenye mamlaka ilibidi ulimboka apatee adabu