Cha kizungu kinakuwaje?😁😄utamu wa kitumbua na hasa cha kienyeji.
Utamu..? uliletwa duniani kula utamu, una akili ndogo wewe..huwezi kuandika hivi km una akili iko sawa!Mleta mada unaujua utamu wa kitumbua au unausikia tu. Hapa namaanisha aina yoyote ya kitumbua kama umewahi kukitumia.
Usicheze na utamu wa kitumbua na hasa cha kienyeji.
Kimya kimya utanyolewa hata kama ni usiku wa manane
Kabla ya kujibu you have to think and come up with analytical thinking, nilichokimaanisha ni utamu wa madaraka, madaraka matamu best yangu, kila mtu anaogopa kuachia nafasi yake , wenye uthubutu wa kufanya hivyo ni 1% ya watanzania kama balozi wetu.Utamu..? uliletwa duniani kula utamu, una akili ndogo wewe..huwezi kuandika hivi km una akili iko sawa!
Ulieleweka sijui kwa nini alikujia kivileKabla ya kujibu you have to think and come up with analytical thinking, nilichokimaanisha ni utamu wa madaraka, madaraka matamu best yangu, kila mtu anaogopa kuachia nafasi yake , wenye uthubutu wa kufanya hivyo ni 1% ya watanzania kama balozi wetu.
Yaani uiache V 8 hivi hivi
Usipanic
People in here are full of stress. Just a minor comment may trigger their demon to rise.Ulieleweka sijui kwa nini alikujia kivile
Wewe bwege wa Kizanzibar, nenda katili. Wenye akili wote hatuendi. Period.Sisi pamoja na viongozi tunasema Oktoba Tuna tiki😁
Wataje kabisa mkuu tuanze na JWTZKama wewe kweli ni mzalendo ndani ya vyombo vya usalama simama na katiba. Fuata kiapo chako sio boss wako umeapa kwa nchi na Mungu wako . Maboss wako ni binadamu jipimeni mnayo tumwa . Msikubali kuwa machine wakati nyie ni binadamu. Kataani kuiba kura, kunyanyasa watu na kudidimiza demokrasia
Balozi mwenyewe kaliachia dakika za jioooooni kabisa,maana amejua hata asipoliacha atanyang’anywa 🤣Kabla ya kujibu you have to think and come up with analytical thinking, nilichokimaanisha ni utamu wa madaraka, madaraka matamu best yangu, kila mtu anaogopa kuachia nafasi yake , wenye uthubutu wa kufanya hivyo ni 1% ya watanzania kama balozi wetu.
Yaani uiache V 8 hivi hivi
Usipanic
Aione IJP Wambura na polisi mnoko MuriloKama wewe kweli ni mzalendo ndani ya vyombo vya usalama simama na katiba. Fuata kiapo chako sio boss wako umeapa kwa nchi na Mungu wako . Maboss wako ni binadamu jipimeni mnayo tumwa . Msikubali kuwa machine wakati nyie ni binadamu. Kataani kuiba kura, kunyanyasa watu na kudidimiza demokrasia
Hawa jamaa ni mateka wa ccm, hawana tofauti na Raia wa kawaida. Kwa kifupi ccm imeteka Raia wote, vyombo vyote vya ulinzi na usalama pamoja na Taasisi zote za umma.Kama wewe kweli ni mzalendo ndani ya vyombo vya usalama simama na katiba. Fuata kiapo chako sio boss wako umeapa kwa nchi na Mungu wako . Maboss wako ni binadamu jipimeni mnayo tumwa . Msikubali kuwa machine wakati nyie ni binadamu. Kataani kuiba kura, kunyanyasa watu na kudidimiza demokrasia