Knuckletouchez
New Member
- May 7, 2021
- 3
- 6
Nimemisi kusikia zile nyimbo za kizalendo na quote za kizalendo kwenye TBC
Mfano kionjo flani tamu kinaimbwagwa hivi:
"Nchi yanguuuh ni urithi wanguuuuh, zawadi ya pekeeeeeeehh, ntaitunzaeeeeeeeeh!"
"Tuchape kazi , tukamenyeke tuijenge nchi yetu tuulinde Uhuru wetu"
"Kila unaponunua kitu dai risiti kuhakikisha kodi yako uliyolipa inafika serikalini"
"Tutajenga nchi yetu kwa jasho letu"
Back in those days, 80% of Tanzanians who were voiceless become louder and confident in their own country
"Mimi ni rais wa wanyonge"
Mkuu wa nchi akifika mahali anauliza shida nini my voiceless people? Assuming ameshasikia sauti za viongozi wengine
Taking down those who humiliated the voiceless people, tumbua hadharani bila nidhamu wale waliowakosea adabu wanyonge,
Ikatengenezeka class ya wanyonyaji/wanyanyasaji V/s class ya wanyonywaji/wanyanuasaji
Wakasema nchi imegawika, kumbe ni laws of nature maji na mafuta hayakai pamoja, uovu na haki haviivi chungu kimoja
Wanasema amelaaniwa aliekuwa anajiita mtetezi wa wanyonge, ndo maana amekufa mapema, naomba niwakumbushe
Hata musa aliewatoa wana waisrael kutoka misri kuwapeleka kaanani hakufika kaanani, na musa alikuwa mtume wa mungu,
#patriots are rare
#patrionts hawadumu
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app