Wazalendo ni wachache, wazalendo hawadumu

Naunga hoja..
Nimemisi kusikia zile nyimbo za kizalendo na quote za kizalendo kwenye TBC

Mfano kionjo flani tamu hivi kinaimbwagwa hivi

[emoji3498][emoji443]nchi yanguuuh ni urithi wanguuuuh, zawadi ya pekeeeeeeehh, ntaitunzaeeeeeeeeh[emoji443]

"Tuchape kazi , tukamenyeke tuijenge nchi yetu tuulinde Uhuru wetu"

"Kila unaponunua kitu dai risiti kuhakikisha kodi yako uliyolipa inafika serikalini"

"Tutajenga nchi yetu kwa jasho letu"

Back in those days, 80% of Tanzanians who were voiceless become louder and confident in their own country

"Mimi ni rais wa wanyonge"
Mkuu wa nchi akifika mahali anauliza shida nini my voiceless people ? Assuming ameshasikia sauti za viongozi wengine

Taking down those who humiliated the voiceless people, tumbua hadharani bila nidhamu wale waliowakosea adabu wanyonge,

Ikatengenezeka class ya wanyonyaji/wanyanyasaji V/s class ya wanyonywaji/wanyanuasaji

Wakasema nchi imegawika, kumbe ni laws of nature maji na mafuta hayakai pamoja, uovu na haki haviivi chungu kimoja

Wanasema amelaaniwa aliekuwa anajiita mtetezi wa wanyonge, ndo maana amekufa mapema, naomba niwakumbushe

Hata musa aliewatoa wana waisrael kutoka misri kuwapeleka kaanani hakufika kaanani, na musa alikuwa mtume wa mungu,

#patriots are rare
#patrionts hawadumuView attachment 1811765

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Na ukifatilia sana hawa wanaoendelea kuomboleza ni wale walokua wanafurahia kina Manji kuhenyeshwa na mwendazake..yaan wale walokua wakiskia Mbowe kaharibiwa mashamba yake....mara amefungiwa akaunt zake..
Lissu kunyimwa stahiki zake..yaan wale wanaofurahia tajiri akinyanysika ndo hizo typ ziko humu balaa! Mtu unaamka huna hata 20000 ya kula lakini ukisikia Manji kawekwa ndani meno njeee...nyoko zao kweli!
Kabisa mkuu yani maana yao ya sauti kusikika ni pale waliposikia mbowe kaharibiwa shamba, tajiri flani makonsa kamweka ndani, biashara flani imekufa basi kwao ndo wanafurahi kweli ile roho ya sote tuwe maskini.😂
 
bado kidogo watatambua maji ni yapi na mafuta ni yapi, mimi bado naamini ww ni rais bora kuwai kutokea kwa miongo mitatu katika ukanda wa afrika na kati.rip mimi nahisi vizazi vijavyo watatutukana kwa matusi yote kwa kushindwa kukulinda vyema.rip mwamba
Pumbaaaa tupa kuleee kwenye banda la kuku
 
Wazalendo ni wengi SANA; ila wazalendo kama JPM, wenye ujasiri usioyumba -- wasiowavumilia wabadhirifu, na wasioogopa vitisho butu vya walowezi, mabeberu, mafisadi, walarushwa na wapigaji -- wanahesabika.
Hata mfanyaje na mumrembe vipi harembeki ng,'ooooo na kafaaaaa!!!!poleni wasukuma!!!! Mlizoea kubebwa
 
Nimemisi kusikia zile nyimbo za kizalendo na quote za kizalendo kwenye TBC

Mfano kionjo flani tamu kinaimbwagwa hivi:

"Nchi yanguuuh ni urithi wanguuuuh, zawadi ya pekeeeeeeehh, ntaitunzaeeeeeeeeh!"

"Tuchape kazi , tukamenyeke tuijenge nchi yetu tuulinde Uhuru wetu"

"Kila unaponunua kitu dai risiti kuhakikisha kodi yako uliyolipa inafika serikalini"

"Tutajenga nchi yetu kwa jasho letu"

Back in those days, 80% of Tanzanians who were voiceless become louder and confident in their own country

"Mimi ni rais wa wanyonge"

Mkuu wa nchi akifika mahali anauliza shida nini my voiceless people? Assuming ameshasikia sauti za viongozi wengine

Taking down those who humiliated the voiceless people, tumbua hadharani bila nidhamu wale waliowakosea adabu wanyonge,

Ikatengenezeka class ya wanyonyaji/wanyanyasaji V/s class ya wanyonywaji/wanyanuasaji

Wakasema nchi imegawika, kumbe ni laws of nature maji na mafuta hayakai pamoja, uovu na haki haviivi chungu kimoja

Wanasema amelaaniwa aliekuwa anajiita mtetezi wa wanyonge, ndo maana amekufa mapema, naomba niwakumbushe

Hata musa aliewatoa wana waisrael kutoka misri kuwapeleka kaanani hakufika kaanani, na musa alikuwa mtume wa mungu,

#patriots are rare
#patrionts hawadumu

View attachment 1811765

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo hilo IBILISI lako hapo nalo ni Nabii? Labda nabii wa Baali!!

Huwezi kumshambulia Tundu Lissu kwa risasi 16 kwa sababu ya kupishana mawazo ukamyima na kulipia matibabu, ukamyang'anya ubunge halafu unaingia kanisani unasema NIOMBEENI!!

Mikono iliyomuua Ben Saanane kisa kahoji PhD yako FEKI haiwezi kuwa na baraka za Mungu
 
JPM alikuwa mchapa kazi na hakupenda kuona ujinga ukifanywa na wasaidizi wake. Cha muhimu ni kuhakikisha kila mradi aliyouanzisha unamalizika, huko ndiko kumuenzi.
 
Nimemisi kusikia zile nyimbo za kizalendo na quote za kizalendo kwenye TBC

Mfano kionjo flani tamu kinaimbwagwa hivi:

"Nchi yanguuuh ni urithi wanguuuuh, zawadi ya pekeeeeeeehh, ntaitunzaeeeeeeeeh!"

"Tuchape kazi , tukamenyeke tuijenge nchi yetu tuulinde Uhuru wetu"

"Kila unaponunua kitu dai risiti kuhakikisha kodi yako uliyolipa inafika serikalini"

"Tutajenga nchi yetu kwa jasho letu"

Back in those days, 80% of Tanzanians who were voiceless become louder and confident in their own country

"Mimi ni rais wa wanyonge"

Mkuu wa nchi akifika mahali anauliza shida nini my voiceless people? Assuming ameshasikia sauti za viongozi wengine

Taking down those who humiliated the voiceless people, tumbua hadharani bila nidhamu wale waliowakosea adabu wanyonge,

Ikatengenezeka class ya wanyonyaji/wanyanyasaji V/s class ya wanyonywaji/wanyanuasaji

Wakasema nchi imegawika, kumbe ni laws of nature maji na mafuta hayakai pamoja, uovu na haki haviivi chungu kimoja

Wanasema amelaaniwa aliekuwa anajiita mtetezi wa wanyonge, ndo maana amekufa mapema, naomba niwakumbushe

Hata musa aliewatoa wana waisrael kutoka misri kuwapeleka kaanani hakufika kaanani, na musa alikuwa mtume wa mungu,

#patriots are rare
#patrionts hawadumu

View attachment 1811765

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
yaani uyo mzee sura yake tu inaonyesha alikuwa mtu wa aina gani, katili ,

Saizi anapambana na adhabu ya Mungu uko alipo, inakoendea watu watamfukua udongoni wamtie mikwaju kwa hasira
 
Ndiye aliyemteua Ole Sabaya aliyeunda kundi la mabaunsa watano.

Back
Top Bottom