Wazalendo ni wachache, wazalendo hawadumu

Naunga hoja..
 
Kabisa mkuu yani maana yao ya sauti kusikika ni pale waliposikia mbowe kaharibiwa shamba, tajiri flani makonsa kamweka ndani, biashara flani imekufa basi kwao ndo wanafurahi kweli ile roho ya sote tuwe maskini.😂
 
Pumbaaaa tupa kuleee kwenye banda la kuku
 
Wazalendo ni wengi SANA; ila wazalendo kama JPM, wenye ujasiri usioyumba -- wasiowavumilia wabadhirifu, na wasioogopa vitisho butu vya walowezi, mabeberu, mafisadi, walarushwa na wapigaji -- wanahesabika.
Hata mfanyaje na mumrembe vipi harembeki ng,'ooooo na kafaaaaa!!!!poleni wasukuma!!!! Mlizoea kubebwa
 
Kwa hiyo hilo IBILISI lako hapo nalo ni Nabii? Labda nabii wa Baali!!

Huwezi kumshambulia Tundu Lissu kwa risasi 16 kwa sababu ya kupishana mawazo ukamyima na kulipia matibabu, ukamyang'anya ubunge halafu unaingia kanisani unasema NIOMBEENI!!

Mikono iliyomuua Ben Saanane kisa kahoji PhD yako FEKI haiwezi kuwa na baraka za Mungu
 
JPM alikuwa mchapa kazi na hakupenda kuona ujinga ukifanywa na wasaidizi wake. Cha muhimu ni kuhakikisha kila mradi aliyouanzisha unamalizika, huko ndiko kumuenzi.
 
yaani uyo mzee sura yake tu inaonyesha alikuwa mtu wa aina gani, katili ,

Saizi anapambana na adhabu ya Mungu uko alipo, inakoendea watu watamfukua udongoni wamtie mikwaju kwa hasira
 
Ndiye aliyemteua Ole Sabaya aliyeunda kundi la mabaunsa watano.
Wazalendo ni wengi SANA; ila wazalendo kama JPM, wenye ujasiri usioyumba -- wasiowavumilia wabadhirifu, na wasioogopa vitisho butu vya walowezi, mabeberu, mafisadi, walarushwa na wapigaji -- wanahesabika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…