Wazalendo saba waliolala usingizi wa R.I.P Van Winkle

Wazalendo saba waliolala usingizi wa R.I.P Van Winkle

Home boy, kuna vitu huwa unaifurahisha kwa kuleta facts ambazo zilikuwa hazijulikani, lakini pia kuna facts ambazo huwa unazipa mkazo wa kupitiliza kiasi, na hapo ndipo tatizo linapokuja.
Kichuguu,
Kazi yoyote ya mikono ya binadamu haikosi kasoro.
 
Tumuache Afunguke tu baba yetu, kulko kukosa usingz na umri huo huku roho ikimsuta kuwa alipata nafasi na hakusema
Home boy, kuna vitu huwa unaifurahisha kwa kuleta facts ambazo zilikuwa hazijulikani, lakini pia kuna facts ambazo huwa unazipa mkazo wa kupitiliza kiasi, na hapo ndipo tatizo linapokuja.
 
Google,
Nimezaliwa 1952.

Huu ndiyo mwaka Mwalimu Nyerere anafika kwa Abdul Sykes.

Abdul Sykes ndiye aliyemjulisha baba yangu Nyerere.

mzee wangu chungulia inbox yako, kuna ujumbe nimekutumia.
 
Msanii,
Bei elfu kumi.
Kipo Ibn Hazm Bookshop Msikiti wa Manyema, Mtoro na Mtambani.

Pia Elite Bookshop Mbezi Samaki na Soma Bookshop Mikocheni.
Mzee ungetanua wigo wa upatikanaji wa hivyo vitabu especially vya kiswahili sehemu mbalimbali za Nchi yetu.Naona umejikita na Jiji LA Dar eS salaam pekee..kwa mfano sisi wa Mwanza ungefanya mchakato tukavipatia hukuhuku na sehemu nyingine za Nchi yetu ikiwemo Arusha,Mbeya,Dodoma,Zanzibar nk nk
 
Chak...
Hiyo si shughuli yangu.
Mimi ni mwandishi tu.

Vitabu ni mali ya mchapaji, publisher yeye ndiye msambazaji.

Wauza vitabu kama hawaviagizi kuuza katika maduka yao inakuwa tatizo.
 
Back
Top Bottom