Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #21
Kichuguu,Home boy, kuna vitu huwa unaifurahisha kwa kuleta facts ambazo zilikuwa hazijulikani, lakini pia kuna facts ambazo huwa unazipa mkazo wa kupitiliza kiasi, na hapo ndipo tatizo linapokuja.
Home boy, kuna vitu huwa unaifurahisha kwa kuleta facts ambazo zilikuwa hazijulikani, lakini pia kuna facts ambazo huwa unazipa mkazo wa kupitiliza kiasi, na hapo ndipo tatizo linapokuja.
Google,
Nimezaliwa 1952.
Huu ndiyo mwaka Mwalimu Nyerere anafika kwa Abdul Sykes.
Abdul Sykes ndiye aliyemjulisha baba yangu Nyerere.
Cc Mohamed SaidHapo ndipo lilipo tatizo na home boy wangu! Kwake yeye historia ya Tanzania/Tanganyika ni ukoo wa Sykes
Mzee ungetanua wigo wa upatikanaji wa hivyo vitabu especially vya kiswahili sehemu mbalimbali za Nchi yetu.Naona umejikita na Jiji LA Dar eS salaam pekee..kwa mfano sisi wa Mwanza ungefanya mchakato tukavipatia hukuhuku na sehemu nyingine za Nchi yetu ikiwemo Arusha,Mbeya,Dodoma,Zanzibar nk nkMsanii,
Bei elfu kumi.
Kipo Ibn Hazm Bookshop Msikiti wa Manyema, Mtoro na Mtambani.
Pia Elite Bookshop Mbezi Samaki na Soma Bookshop Mikocheni.
Chak...Mzee ungetanua wigo wa upatikanaji wa hivyo vitabu especially vya kiswahili sehemu mbalimbali za Nchi yetu.Naona umejikita na Jiji LA Dar eS salaam pekee..kwa mfano sisi wa Mwanza ungefanya mchakato tukavipatia hukuhuku na sehemu nyingine za Nchi yetu ikiwemo Arusha,Mbeya,Dodoma,Zanzibar nk nk
Smarte,mzee wangu chungulia inbox yako, kuna ujumbe nimekutumia.
Ndio ujifunze kitu usitukane wala kumjibu mtu vibaya humu JF wengine ni sawa babu na baba zakiPokea shikamoo yangu mkuu ww ni babu yangu maana hata baba angu hakuwa amezaliwa mwaka huo
Kabisa mkuu heshima kwakoNdio ujifunze kitu usitukane wala kumjibu mtu vibaya humu JF wengine ni sawa babu na baba zaki
Google...Kabisa mkuu heshima kwako