Wazalendo tunaipongeza ITV kwa kukataa kununuliwa na kutoa taarifa ya Mkulima aliyewashtaki Mawaziri Mahakama ya Kisutu

Wazalendo tunaipongeza ITV kwa kukataa kununuliwa na kutoa taarifa ya Mkulima aliyewashtaki Mawaziri Mahakama ya Kisutu

Hiyo kesi nilishaisahau, kumbe ipo, hakuna MMM mwingine akatuletee updates mahakamani?

Kesi ina public interest kubwa sana hiyo.
 
Huyu anataka kuwaokoa na moto wa Bungeni wakati mjadala utakafika. Utasikia Wabunge tusiwajadili hawa kwasababu kesi iko mahakamani

Kweli mkuu hilo la kesi ipo mahakamani laweza tokea
 
Back
Top Bottom