Fukua
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 546
- 479
Kazi iendelee.
ππππππππ Hii ni tafsiri ya mtoto wa form one mwaka 2022 huko shule NAMTUMBO
SAMIALOGY ni sera/tawi la sayansi ya uongozi linalojikita zaidi na utoaji wa haki, huduma bora,maridhiano, utawala wa sheria, uwazi na uwajibikaji,ucha Mungu, uzalendo wa kweli na utoaji wa huduma safi za kimaendeleo unaolenga zaidi watu na sio vitu.
Na...
MAGUFULIFICATON ni sera/ TAWI la sanaa ya uongozi lililojikita zaidi katika kuongoza kwa hila, Mateso, mauaji, unyimaji haki, chuki, ukabila, undugulization,uvunjaji wa sheria, kujimwambafy, ukichaa, uzalendo uchwara, na utoaji wa huduma bovu zinazolenga zaidi maendeleo ya vitu na sio watu.
Hili tawi la magufulification linatumiwa au kupendwa sana na viongozi wengi wa kiafrika lakini samialogy ni tawi linalotumiwa zaidi na viongozi wengi wa nchi zilizoendelea.
Watanzania kwa mapenzi ya Mungu sera ya Magufulification iliondoshwa na kufutiliwa mbali nchini kwetu tarehe 17/3/2021 na kusimikwa kwa sera mpya ya SAMIALOGY ambayo tumeipenda, tumeikubali, na tunaitekeleza kwa kushinda.
Niwakumbushe tu wale waimba mapambio, waunga juhudi, sakuma gang, wazalendo uchwara na wafuasi wa sera ya magufulification kwamba sera ya tanzania kwa sasa ni SAMIALOGY, kupingana nayo ni kuwaudhi, na kuwakasirisha watanzania na dunia ya watu wastaarabu, hivyo uungwana ni kuchutama.
Nchi inaendelea kufunguka, tabasamu linarejea upya msitutoneshe vidonda vilivyotokana na sera ya kuzimu ya magufulification, maana ni kuikosea nchi adabu na ni uhaini kwa serikali yetu.
Magufulification acheni kuwashwa washwa mwacheni mama achape kazi, watanzania tuko nyuma yake.