Wazalendo wa Tanganyika historia itawakumbuka milele daima Amen

Wazalendo wa Tanganyika historia itawakumbuka milele daima Amen

canular

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
1,085
Reaction score
1,314
Damu zenu wa Tanganyika wazalendo zitawasumbua watawala na wote walio husika katika hili mmekufa kishujaaa mkilipigania Taifa lenu la Tanganyika mwenyezi Mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu Mungu wa Mbingu na Ardhi mlinzi wa wote Bariki vijana hawa wa kitanganyika walio mwagwa damu na kuondolewa uhai wao ndani ya ardhi yao simama na familia zao ndugu zao na marafiki zao wape pumziko jema mwenyezi Mungu Amen
 
Attachments

  • 71b13303-2106-4115-892d-846b767de4a4.mov
    1.8 MB
  • 5993538b-4f16-444e-a6a9-3fe49569c82e.mov
    2.9 MB
  • bbea7535-e9c4-4378-939f-060f4a5a6d01.mov
    1.5 MB
  • 1a31bd14-10bf-4065-a8e2-f3f2ccb86ddf.mov
    1 MB
  • 81d05e9c-4066-42a6-a1e4-a36f2767d25e.mov
    2.6 MB
  • 0ab99d98-bb21-4532-8030-94a8b43d6e15.mov
    1 MB
  • 8f733a99-42d3-46d0-8e28-b9701b4ca87a.jpeg
    8f733a99-42d3-46d0-8e28-b9701b4ca87a.jpeg
    100.1 KB · Views: 34
  • 3356d9c2-a822-4d6f-8a90-f27700e68506.jpeg
    3356d9c2-a822-4d6f-8a90-f27700e68506.jpeg
    168.2 KB · Views: 28
  • cc2676dc-b76f-44c4-b0b7-ee19164e92f3.jpeg
    cc2676dc-b76f-44c4-b0b7-ee19164e92f3.jpeg
    180.3 KB · Views: 26
  • 3356d9c2-a822-4d6f-8a90-f27700e68506.jpeg
    3356d9c2-a822-4d6f-8a90-f27700e68506.jpeg
    168.2 KB · Views: 24
  • b2865fc8-9bc3-4bdb-9c3f-4df7f66415a0.jpeg
    b2865fc8-9bc3-4bdb-9c3f-4df7f66415a0.jpeg
    141.3 KB · Views: 25
  • 63cec9da-bff3-4d0c-84f1-4858986b2386.jpeg
    63cec9da-bff3-4d0c-84f1-4858986b2386.jpeg
    118.7 KB · Views: 28
  • cc2676dc-b76f-44c4-b0b7-ee19164e92f3.jpeg
    cc2676dc-b76f-44c4-b0b7-ee19164e92f3.jpeg
    180.3 KB · Views: 25
  • b2865fc8-9bc3-4bdb-9c3f-4df7f66415a0.jpeg
    b2865fc8-9bc3-4bdb-9c3f-4df7f66415a0.jpeg
    141.3 KB · Views: 25
  • ab9fefb2-de2f-4bd6-983f-701d28ff2398.mov
    1.7 MB
  • 1a31bd14-10bf-4065-a8e2-f3f2ccb86ddf.mov
    1 MB
  • 36a712d6-f57c-46de-a572-cd124e8e86bd.mov
    1.7 MB
  • a0814eda-8280-48fe-a33a-c2943aee720b.mov
    6.1 MB
  • e4438c7e-c783-4393-8257-7532ba9caaec.mov
    3.4 MB
  • ab95a5f2-1854-4614-b520-2e46875e5c30.mov
    1.2 MB
  • 1859e96e-0c4e-41ed-b502-45d65790e0a7.mov
    2.7 MB
  • 6d347dbc-a248-46de-889f-3197e8b59242.mov
    1.7 MB
  • 3cc82179-9032-4390-8edb-bbc464d6a0d4.mov
    4.4 MB
  • 2723438e-1c22-4093-93ef-1f74e6fe5fbf.mov
    4.4 MB
  • e4438c7e-c783-4393-8257-7532ba9caaec.mov
    3.4 MB
  • ab95a5f2-1854-4614-b520-2e46875e5c30.mov
    1.2 MB
  • 1859e96e-0c4e-41ed-b502-45d65790e0a7.mov
    2.7 MB
  • 3cc82179-9032-4390-8edb-bbc464d6a0d4.mov
    4.4 MB
  • 23537ed6-1b2b-4ae9-9017-a6515306e481.mov
    3.8 MB
Kilichofanyika pale Angle kati kati ya Mabibo sokoni na big brother ilikua ni mauaji ya kutisha
Mpaji Mungu kama unaweza elezea kidogo nini kikifanyika siku gani, saa gani, wahusika, mavazi yao, silaha, lugha gani walikuwa wanaongea, picha au video kama unazo.

Huu uwe uzi rasmi wa kukusanya taarifa za mauaji ya Samia na genge lake.

Wengine wote wenye taarifa, ushahidi, CCTV footages waweke hapa kutunza ushahidi kabla haujawasilishwa sehemu husika.
 
safi sana watu waweke video zote kutoka kila kona ya Tanzania ya mauwaji ya samia yaliyofanyika na yanayoendelea kufanyika
 
Cha ajabu vyombo vya habari vya Tanzania vyote vipo kimya. Magazeti, TV, radio kuanzia TBC, channel ten, Azam, Millard Ayo, Clouds nk.

Haya ni mauaji makubwa kuwahi kutokea Tanzania. Hii habari inatakiwa kuwa front page, leading topic in each and every media.

Bila kupaza sauti mauaji yataendelea kwa kiwango kikubwa zaidi.
safi sana watu waweke video zote kutoka kila kona ya Tanzania ya mauwaji ya samia yaliyofanyika na yanayoendelea kufanyika
 
Cha ajabu vyombo vya habari vya Tanzania vyote vipo kimya. Magazeti, TV, radio kuanzia TBC, channel ten, Azam, Millard Ayo, Clouds nk.

Haya ni mauaji makubwa kuwahi kutokea Tanzania. Hii habari inatakiwa kuwa front page, leading topic in each and every media.
Bado wana mambo ya kizamani ya kuficha ficha.

Ukweli ni kwamba haisaidii na haitosaidia.

Mbona ukweli unajulikana, hata mtoto mdogo huwezi kumdanganya hata upindishe vipi
 
Bado wana mambo ya kizamani ya kuficha ficha.

Ukweli ni kwamba haisaidii na haitosaidia.

Mbona ukweli unajulikana, hata mtoto mdogo huwezi kumdanganya hata upindishe vipi
kwa taarifa yao hizi video zimesha fika ulimwenguni ni swala la muda tu
 
Mauaji ya kutisha sana haya. Hakuna aliye salama tena! Sio JK, sio Samia, sio Makonda, sio Mafwele. Sio mtu yeyote anayekaa kimya na kufumbia macho.

CCM na serikali yake lazima wawajibike kwa haya matendo ya kikatili kwa kukaa pembeni na kuruhusu uchunguzi huru na wa wazi.

Polisi wasijifanye kuwa hamnazo. Wote wameshindwa kazi zao. Na wanafanya Njama za kufuta ushahidi.
 
Hapa inaonekana kama ni mazingira ya hospitali miili ya binadamu inarundikwa nje kama mizoga ya panya. Tumefikia huku.
IMG-20251102-WA0002.jpg
 
******** Samia, kaanza kuua watanzania kabla hata ya haya mauaji, kina mdude, Kibao, polepole (?), etc aliwaua kwa sababu gani?maandamano au, huyu mazafaka nimemchukia sana, huyu muuaji na genge lake hakuna majadiliano yatafanyika na watanzania , aondoke tuu kaua sana
 
Muliro na mafwele wamekubali kushirikiana na huyu muuaji, wao na familia zao sasa ni legit target
 
Samia unakufa kabla ya miaka hii mitano I swear shetani mkubwa
 
Back
Top Bottom