Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Karibu kagera. Ingawa kwa sasa sipo Tanga. Hivi bifu lenu na Mwamboni limeisha?
Hahahaha wana bifu kwa mambo ya ushirikina kulogana kama kawa.

Ni mitaa iliyopangika vizuri lakini kwa mambo ya kiswahili ni noma.
 
Back
Top Bottom