Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Eti watu wa Tanga nao wanawaita Watu wa Mikoani ,,wa kutoka Bara", hili lilinishangaza sana, nilifikiri ni msemo wa watu wa Dar tu!
Bara ni kinyume cha pwani mkuu. Hata watu wa Mtwara na Lindi ni haki yao kuwaita watu wa Songea "wa-BARA."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…