Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
tena we kwenu soni tunakuacha sie tunaendelea na safari mpaka mwisho wa buskweli Tanga kuna warembo wa kutajikaaaaa...na Shunie pia ni mtanga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tena we kwenu soni tunakuacha sie tunaendelea na safari mpaka mwisho wa buskweli Tanga kuna warembo wa kutajikaaaaa...na Shunie pia ni mtanga?
Sidhan hebu nambie maeneo gan nije nikusalimie da shunieaisee una wasi wasi na mimi kweliiii ebu Bonny ukuje unijibie
[emoji15]Nitahamia tuwe majirani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hayakuhusu
Karib kuna chumb na sebule tunakipangishaNitahamia tuwe majirani
njo mlaloSidhan hebu nambie maeneo gan nije nikusalimie da shunie
Yaani umeshaiona fursa. HufaiKarib kuna chumb na sebule tunakipangisha
Nini wewe[emoji15]
ila bamdogo wewe sasa huku umekuja kufanya nini jamanYaani umeshaiona fursa. Hufai
Nini wewe
Kukusalimia mamdogo. Tanga wazimaila bamdogo wewe sasa huku umekuja kufanya nini jaman
Kweli mkuu uku kwetu pangani upepo ukitulia tunausikia mziki Toka visiwan.. pia bahari ikitulia tunaona minara ya Sim znz.. hasa maeneo ya ushongokama unajua laiti Tanganyika isinge ungana na Zanzibar Basi wilaya ya Pangani ambayo ipo mkoa wa Tanga basi nayo ingekuwa ni zanzibar
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] looh mbali kote huko looh nisalimie mkongoronnjo mlalo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani umeshaiona fursa. Hufai
Nini wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bamdogo nimekushindwaKukusalimia mamdogo. Tanga wazima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] njo mpaka mission[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] looh mbali kote huko looh nisalimie mkongoron
Wew nitakuja bwana huko sijui kange sijui usagara[emoji23] [emoji23] [emoji23] bamdogo nimekushindwa
Tanga tu hatutak wala migebuka wabishi kama ninjamani nauliza hii mada inawahusu watu Wa tanga tu?![]()
Basi me napita tu.
[emoji23][emoji23][emoji23] shunie mishen nakujua nisalimie shekolowa[emoji23] [emoji23] [emoji23] njo mpaka mission