Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Habari zenu wakuu...

Jamani natafuta watu/mtu, ambaye ni mwenyeji wa wilaya ya Pangani iliyopo mkoani Tanga.... Nimependa tubadilishane masuala mawili matatu kidogo, kuhusu eneo hilo la Pangani. (Jinsia yoyote iliyopo tayari, unakaribishwa).

Natanguliza kusema...ASANTENI.
 
Zumbe Nz'eze

Dereva Shikamoo
Kondakta Mwihali Gani
 
KORONGWE MOJA asanteh MUNGU kwakunibariki na kuzaliw tanga WALE WOTE WA KORONGWE GONGA LIKE TUJUANE
 
Mungu amenibariki nimeingia home Tanga Jana. Wadau mpo?? Au ndio vyuma vimekaza???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…