Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duhmuheza na Mkinga zitoe hamna bahar huko
Najivunia kuwa mzaliwa wa TangaUzi maalumu kwa wana JF walio zaliwa Mkoa wa Tanga
Hata kama haupo Tanga ila Tanga ndio Nyumbani basi husika Hapa.
Dhumuni ni kufahamiana.
Wa T.A tujimwae mwae humu.
TANGA NDIO HOME![]()
Nami korongwe home piaNakumbuka tu korogwe
Kabla ya uhulu itakua hiiView attachment 945656hii ni barabara ya kumi kutokea MK inn kuelekea msikiti wa ijumaa