Halafu we jamaa una jina la kipare lakini unasomeka kisambaa zaidi. Au ni wale jamaa waliohamia karne hizo?Muinukeze...!
Tawakal Tangamano
Hatai kwei kwei ππππππSamahani naomba muni ambie kwanini Korogwe mnaita koogwe
Hahaha kweli mtani basi mimi nilikuwa nadhani mkiita koogwe ni kwa kisambaa kumbe ni nakshi tu ππ,itabidi unifundishe maneno mawili matatu au unasemaje mtani ππHahaaaa. Huwa tunatia nakshi kidogoo Mtani π π π π
Eti Koogwe. Lol. Hatayi kweyi kweyi. Mtani.
Hahaaaa. Lol.Hahaha kweli mtani basi mimi nilikuwa nadhani mkiita koogwe ni kwa kisambaa kumbe ni nakshi tu ππ,itabidi unifundishe maneno mawili matatu au unasemaje mtani ππ
Sasa Mtani na wenyeji wako wa TA ni wa kuzaliwa na kuondoka au wa kufikia tu kutokana na mihangaiko ya maisha?Hahaha kweli mtani basi mimi nilikuwa nadhani mkiita koogwe ni kwa kisambaa kumbe ni nakshi tu ππ,itabidi unifundishe maneno mawili matatu au unasemaje mtani ππ
Ni wa kuzaliwa mtani vipi kwa upande wako na wewe?Sasa Mtani na wenyeji wako wa TA ni wa kuzaliwa na kuondoka au wa kufikia tu kutokana na mihangaiko ya maisha?
Mi Mtani ndio kwetu kabisa kabisa yaani Wazee ndio kwao huko.Ni wa kuzaliwa mtani vipi kwa upande wako na wewe?
Unaniangusha Mkuu..hivi ushawahi kufika Kigombe? Sasa kule ni Muheza..na kuna bandari bubu pale..muheza na Mkinga zitoe hamna bahar huko