Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha kweli mtani basi mimi nilikuwa nadhani mkiita koogwe ni kwa kisambaa kumbe ni nakshi tu 😁😁,itabidi unifundishe maneno mawili matatu au mtani 😜😜
Hahaha kweli mtani basi mimi nilikuwa nadhani mkiita koogwe ni kwa kisambaa kumbe ni nakshi tu 😁😁,itabidi unifundishe maneno mawili matatu au unasemaje mtani 😜😜
Daah shukrani kwa kunijuza mkuu"Koogwe"sio nakshi bali ndio utamkwaji wake, hilo
Sio nakshi ndio utamkwaji wake kwa kisambaa na mkumbuke kiswahili ni kibantu hivyo hata hilo neno korogwe limetokana na neno "kooghwe"
Hiyo "Kooghwe" ina maana gani Mkuu?Sio nakshi ndio utamkwaji wake kwa kisambaa na mkumbuke kiswahili ni kibantu hivyo hata hilo neno korogwe limetokana na neno "kooghwe"
Sawa MkuuCjui ina maana gani.bt ngoja ni jaribu kuuliza wakale Kama wakinipatia jawabu Nita share.
Check me up! I will around darajani tomorrowI'm missing home, nazunguka tu mikoa mingine ila Tanga ndio home, napapenda sana nyumbani, mwezi wa sita Muhimu kwenda tena kutembea home, ugenini ugenini tu though niko Zanzibar (Unguja) na yote pwani but sijisikii kua nyumbani
Nlidhani unatoka zenji honestly.Mi Mtani ndio kwetu kabisa kabisa yaani Wazee ndio kwao huko.
Huwezi amini juzi niliambiwa barabara ya hospital ya makorora kuelekea dunia hotel mpaka kwanjeka unajengwa nkajikuta automatically nimefurahi kinyamaTena ndugu zako tupo wengi hasa Mkuu. Karibu kwenye uzi wetu wa nyumbani.
Kama upo huko utupe mbili tatu mpya kama zipo.
Hata wewe wa Tanga ndungu??Nimemiss sana Gofu juu primary school, mtaa wa kujidai mwamboni
Ndio... Nami pia ni wa TangaHata wewe wa Tanga ndungu??
Kesho ndio leo au kesho ya Jumanne???? Now niko mitaa ya airport ndani huku, nikitoka naenda Fumba mara mojaCheck me up! I will around darajani tomorrow
Kesho jumanne mkuu. Leo holiday! Ratiba zaki zinasemaje kwa kesho??Kesho ndio leo au kesho ya Jumanne???? Now niko mitaa ya airport ndani huku, nikitoka naenda Fumba mara moja
Kesho siku ya kazi but niko fifty fifty kuingia au lah so will keep in touchKesho jumanne mkuu. Leo holiday! Ratiba zaki zinasemaje kwa kesho??
Haina nouma mzeeKesho siku ya kazi but niko fifty fifty kuingia au lah so will keep in touch
Duuh! Hapana.Nlidhani unatoka zenji honestly.
Are you digo???Duuh! Hapana.
Na mimi wa TA.
Umeona sasa hata na mie sina habari aisee.Huwezi amini juzi niliambiwa barabara ya hospital ya makorora kuelekea dunia hotel mpaka kwanjeka unajengwa nkajikuta automatically nimefurahi kinyama