Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Nani anapakumbuka hapa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anapakumbuka hapa??View attachment 1259102
View attachment 1257673 Tuweni makini na hiki kinywaji chetu pendwa watu wa tanga leo nimegundua chupa nyingi ambazo zipo madukani ni expired [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
View attachment 1257673 Tuweni makini na hiki kinywaji chetu pendwa watu wa tanga leo nimegundua chupa nyingi ambazo zipo madukani ni expired [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Oa Mbondei watu wa kazi kazi... Au unapenda life style ya watu wa Tanga mjini?Jamani kama kuna mwanamke yoyote yule mdigo plz nipm
Mie nape da maunonya wadigoOa Mbondei watu wa kazi kazi... Au unapenda life style ya watu wa Tanga mjini?
Sikujuaga wewe wa Tanga oneloveYap tupo mkuu
MPAKANI Na MombosaHivi wasegeju ni watu wa Tanga!?
Sawa.MPAKANI Na Mombosa
Tupo, shule ya msingi Mpirani.Wale wa kisosora mpo?
Mabawa sehemu gani? Nimekaa sana mitaa ya komesho ,nilikuwa nafika sana mabawa polisi.Wale wa Mabawa tujuane
Pale pale Polisi ndo nipoMabawa sehemu gani? Nimekaa sana mitaa ya komesho ,nilikuwa nafika sana mabawa polisi.
Tumeongelea sana ziwa la karibu na shule ya mabawa .