Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

mimi niko huku kikazi na ndio nyumbani....barabara zinajengwa kwa kiwango cha lami kuanzia njia panda ya msambweni mpaka sahare....karibuni Tanga wakuu
Good,wapite mpaka maeneo ya Makorora kulikokuwa na lami miaka ile...
 
Usiniambie..
Ule mchanga wa pale Msambweni kuelekea Gatundu haupo tena?
mimi niko huku kikazi na ndio nyumbani....barabara zinajengwa kwa kiwango cha lami kuanzia njia panda ya msambweni mpaka sahare....karibuni Tanga wakuu
 
IMG_9588.JPG
Tuweni makini na hiki kinywaji chetu pendwa watu wa tanga leo nimegundua chupa nyingi ambazo zipo madukani ni expired [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Uzi maalumu kwa wana JF walio zaliwa Mkoa wa Tanga
Hata kama haupo Tanga ila Tanga ndio Nyumbani basi husika Hapa.
Dhumuni ni kufahamiana.

Wa T.A tujimwae mwae humu.

TANGA NDIO HOME
11889576_766359033475931_5319794118010682541_n.jpg
Umekosea sana. Ulipaswa uandike 'Wenyeji wa Tanga'. Inawezekana mtu akazaliwa kagera lakini wazazi wake wana asili ya Tanga.
 
Back
Top Bottom