Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Hahaha kweli mtani basi mimi nilikuwa nadhani mkiita koogwe ni kwa kisambaa kumbe ni nakshi tu 😁😁,itabidi unifundishe maneno mawili matatu au mtani 😜😜

Hahaha kweli mtani basi mimi nilikuwa nadhani mkiita koogwe ni kwa kisambaa kumbe ni nakshi tu 😁😁,itabidi unifundishe maneno mawili matatu au unasemaje mtani 😜😜

Sio nakshi ndio utamkwaji wake kwa kisambaa na mkumbuke kiswahili ni kibantu hivyo hata hilo neno korogwe limetokana na neno "kooghwe"
 
Tena ndugu zako tupo wengi hasa Mkuu. Karibu kwenye uzi wetu wa nyumbani.

Kama upo huko utupe mbili tatu mpya kama zipo.
Huwezi amini juzi niliambiwa barabara ya hospital ya makorora kuelekea dunia hotel mpaka kwanjeka unajengwa nkajikuta automatically nimefurahi kinyama
 
Huwezi amini juzi niliambiwa barabara ya hospital ya makorora kuelekea dunia hotel mpaka kwanjeka unajengwa nkajikuta automatically nimefurahi kinyama
Umeona sasa hata na mie sina habari aisee.

Uzi huu muwe mnaweka Updates ka hizi na sisi tulio huku mwisho wa dunia tuwe tunajua. Ila safi sana hiyo.
 
Back
Top Bottom