Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Huu uzi mtu ukitaka demu wa kukupa maviuno ya maana utampata humu
 
washambaa mzaivaa na mzaona?
f2c52f7d985bef21d00f35e2f03db976.jpg

Shunie unapajua Mlalo ,Lwandai sec,Mkongoroni,mission kule mlimani msalabani I once crossed that part of the world.
Wazee wa Ngwelo ndani ya Shambalai bus service
 
Wale mlioko Tanga mjini tafadhali naomba nipate hata mwaliko wa Sikukuu
 
Mwena na semwena tidughane kwa mwena,chezea bonde wewe!!![emoji3][emoji3]
 
Nilipataga mtoto wa kitanga daaaah mm chotara wa kichaga na kikweree haniachi mtoto sijui katumwaaa
 
Wapi nitapata biriani nzuri jamani..maana kila ijumaa kila baada ya mshuko wa swalat Jumaa nimezoea kupata biriani..sasa kuna machimbo nishayazoea..wale wenyeji tupeane ramani..
 
Kwa wale wanaotaka kuishi tanga, kuna viwanja ninauza vipo kange, ukubwa ni 20*30, havina dalal ni vya kwangu mwenyewe, maji umeme umeshafika, kwa maelezo zaidi tuchekiane PM
 
Kwa wale wanaotaka kuishi tanga, kuna viwanja ninauza vipo kange, ukubwa ni 20*30, havina dalal ni vya kwangu mwenyewe, maji umeme umeshafika, kwa maelezo zaidi tuchekiane PM
Vina hati
 
Vina hati
Vimepimwa na kijiji na mipango miji, vina hati ya kijiji, nilishaanza mchakato wa mipango miji ili sikumalizia kuna matatizo binafsi nilipata
Ila kwa muhitaji tukishapata bei ya viwanja, ndani ya hiyo hiyo bei tunaenda wote kulipia mipango miji ili mchakato wake ukamilike( hataongeza pesa ila mipango miji nitalipia mimi kutoka ndani ya bei ya kiwanja)
 
Back
Top Bottom