Umewagusa weng ndoo maan wamekuwa silentWengi watapia kimya kimya hapa ukweli mchungu.
Mwingine Huyu hapaNijenge nini mzee kaacha nyumba za kutosha. Kujenga bila kuwa na mradi endelevu ni uoga wa maisha.
Kafanyaje?
Ndio na kodi tunazikusanya fresh tu. Wewe km mzazi wako hajakuandalia mazingira Wewe waandalie watoto wako.
Ndio.Na wewe utaandalia lini wanao mazingira au watategemea vya babu?
Kwa wasio na elimu watafanya hivyo! ! Ila siwezi Kujenga harakaharaka kama wafanyavyo wakuja tena kwa mikopo kila mahali.Na watoto wa kaka zako na wa dada zako hizo mali zitagombaniwa kama league juu ya England
Utafiti fake dada.Hii tafiti nimeiona kwa wengi. Wazaliwa wengi hasa wale waliokuta nyumba za familia hawamiliki mijengo. Wengine waliojisogeza wanamiliki kiwanja lakini kujenga anasubiri kikokotoo.
Wale wa kuja wengi baada ya miaka mitano au chini ya hapo, anamiliki mjengo. Wengi waliniambia ni hasira ya kulipa kodi, masimango ya wenye nyumba ndivyo vimewasukuma.
Hawa wazawa wengine wanafurahisha. Mtu anaanza familia kabisa akiwa kwenye guest wing ya shemeji. Siku shemeji amempiga dada inabidi uwe upande wa shemeji usifukuzwe kwenye nyumba. Unamwambia dada avumilie ilhali damu imevilia kwenye jicho.
Ukizingatia viwanja vipya Mambwepande hukoo.Ni kweli kabisa wala siyo utani...
Haswa kama umekuta wazazi tayari wameshawajengea mijengo na kusema hii itakua ya kwako na hii itakua ya fulani... zile nyingine ziachane zitawasidie mbeleni...
Inatia uvivu sana kujenga ya kwako...
Cc: mahondaw
Ukizingatia viwanja vipya Mambwepande hukoo.
Leo ninawaongelea wale waliojistiri kwenye guest wing ya shemeji.