Wazambia wanashangaza na utamaduni wao wa nidhamu ya mdogo kumpigia magoti mkubwa.

Wazambia wanashangaza na utamaduni wao wa nidhamu ya mdogo kumpigia magoti mkubwa.

Mzee wa Kino umepiga ruti nyingi sana aisee. Mimi unanihamasisha sana kwenye ujana wangu kuchangamkia kila fursa.
Sana....vijana sahvi waoga kutoka nje

Ila wanawake wa kizambia wanaheshim sana wanaume

Hata mwanamke awe na cheo,uwezo
Lakini atampigia got mwanaume kuonesha respect

Ova
 
Na wewe umenishangaza kwa vitu viwili

1: nikweli kila mtu anauhuru wakujiamulia atakacho lakini kwanini ujiite #mamasamia 2025 huoni kama ni kampeni? Pia wenda ikawa wewe ni mwanaume imagine

2: kwanini unatujazia mapicha yako mengi mengi ivo yasiyokuwa na maana kwa kisingizio chakutuonyesha tamaduni za watu
ukinijibu kwa hoja tutaenda sawa....
N:B.Elewa comment kwanza
Kwanini atolee mfano wa carrier 2 zinazokinzana? Mdude vs kinana, manara vs karia.
 
Hata nchi nyingi za asia wana utamaduni huu Sana, wajapan wachina, boss ananyenyekewa na kiheshimika Sana tofauti na tz. Mtumishi akikosea utaona anamsujudia boss amsamehe.. na hta salamu pia
 
Njoo kwetu Simiyu usukumani hii ni kawaida na ni desturi yetu
 
Japo haifanani na kwa wakerewe na wazinza ila mwanaume ukioa binti wa kikerewe au wakizinza aseee utampigia magoti baba mkwe. Huu utamaduni upo nimeuona nimeshangaa sana. Japo maeneo ya mjini wazinza na wakerewe wa huko hawafanyi ivo.
 
Tatizo la waafrika sisi kitu akifanya mzungu tunaona sawa ila akifanya mwaafrika tunaona ushamba jinga kabisa.
 
Back
Top Bottom