Sana....vijana sahvi waoga kutoka njeMzee wa Kino umepiga ruti nyingi sana aisee. Mimi unanihamasisha sana kwenye ujana wangu kuchangamkia kila fursa.
Kwanini atolee mfano wa carrier 2 zinazokinzana? Mdude vs kinana, manara vs karia.Na wewe umenishangaza kwa vitu viwili
1: nikweli kila mtu anauhuru wakujiamulia atakacho lakini kwanini ujiite #mamasamia 2025 huoni kama ni kampeni? Pia wenda ikawa wewe ni mwanaume imagine
2: kwanini unatujazia mapicha yako mengi mengi ivo yasiyokuwa na maana kwa kisingizio chakutuonyesha tamaduni za watu
ukinijibu kwa hoja tutaenda sawa....
N:B.Elewa comment kwanza