Wazambia watumia akili kwenye soko la mahindi

Naona taratibu tunaelewana 😂😂😂
You don't know what you are talking about brother, wewe unajua China inalisha The mighty USA kwa kuwauzia pork, beef, fish and rice? Bila China USA wanakufa njaa vile vile Kenya bila Tanzania tutakufa njaa.
 
Ukweli mchungu huo, ninyi mnatapeliwa na wanasiasa mpaka raha 😂😂😂
Ni kweli mnatapeliwa na wanasiasa Hadi raha, wamewatwanga hamna deni Sasa hili la 60 trillion limetoka wapi?
Wamewaambia mnakua kwa 7.1% kumbe ni 4.2% so ni kweli wanasiasa wanawatapeli.
 
7.1% GDP growth
Tunaongoza Africa kwa kuondoa umasikini
Tunaongoza Africa kwa uchumi jumuishi
Tunaongoza Africa kwa kutumia vizuri pesa zetu za ndani
Tupo katika nchi 10 zenye chumi kubwa Africa

Hao waliosema mnaongoza kwa matumizi mazuri ya pesa pia walisema ukuaji wenu umeshuka kutoka alivyoacha Kikwete 7.2% hadi 4.0%
Mkashabikia upande mmoja mkawatukana upande wa pili.....
Na leo hii mnasemekana kwa miaka miine tu mumekopa zaidi ya miaka kumi ya awamu ya nne ilhali bado mpo maskini wa kutupwa ndani ya LDC.
Mnatujazia omba omba huku.
 
huyo mtanzania atakaekua anakuja kwenye nchi kama hii 👇👇👇
Atakua na matatizo ya akili

Hhao mawaziri wameshtakiwa, ina maana mifumo ya sheria kwetu inafanya kazi, hivi kwenu mawaziri wangapi wameshtakiwa achilia mbali wa kufutwa kwa sababu za kisiasa, nazungmza kuhusu waziri kupelekwa hadi mahakamani, ukizingatia mnavyotafunwa licha ya nchi yenu kuwa maskini wa kutupwa ndani ya LDC, trilion 1.5 zilizama hivyo hivyo, ila anayewatafuna lazima alaaniwe, nchi maskini wa LDC kutafuna trilion 1.5 hapo unawaacha katika hali gani kweli, mifupa.
Kwa mwendo huo mtatujazia sana omba omba.
 
Hahaha Tanzania kwa mwezi inakusanya wastani wa trillion 1.5, Ukitoa mishahara ya wafanyakazi billion 400, hiyo trillion 1.1 inaenda kwenye miradi ya maendeleo kila kona ya nchi

Mtu aibe trillion 1.5 maana yake nchi ingefilisika siku hiyohiyo na CAG alishasema hakuna kitu kama hicho sababu yeye ndio hukagua mahesabu na huo ni uvumi wa bongolala zito wala haupo justifiable, kumbe ninyi upo justifiable mpaka kupelekana mahakamani? Corrupted state indeed

Tanzania inaongoza Africa kwa mapambano dhidi ya rushwa so haina waziri wa kumshtaki kwa makosa ya ufisadi sababu ufisadi haupo.
 
Mlimlazimisha CAG aseme hakuna kilichoibiwa, ila taarifa yote mkaibamiza, nchi maskini kama hiyo kuiba trilion 1.5 ni kujitafutia laana, mtazidi kutusumbua sana na hawa omba omba.
 
Hiyo trillion 1.5 imeibiwaje sasa? Sababu njia za kuiba pesa ya serikali kwa muda mfupi hivyo common ni kupitia procurements au mikataba ya kiuwekezaji, sasa ni procurements zipi serikali ilifanya ika over declared amount sahihi ambayo hiyo trillion 1.5 ikapatikana? Show me how!
 
Ninyi kenya hua mnauzia wapi mahindi na mchele mnaolima au chakula kwenu ni mtihani
 
Hiyo trillion 1.5 imeibiwaje sasa? Sababu njia za kuiba pesa ya serikali kwa muda mfupi hivyo common ni kupitia procurements au mikataba ya kiuwekezaji, sasa ni procurements zipi serikali ilifanya ika over declared amount sahihi ambayo hiyo trillion 1.5 ikapatikana? Show me how!

Mbona taarifa zilianikwa jinsi gani mlizipiga, akina Zitto Kabwe walianika ila mkajitoa ufahamu mpaka leo mnauliza ziliibiwaje.
 
Hakuna procurement yoyote serikali ya Tanzania imewahi kufanya toka dunia imekuwepo yenye value zaidi ya trillion 1.5 kwa mkupuo! Kwa mara ya kwanza serikali ililipa downpayement ya billion 688 juzi kwenye Nyerere Dam Project

Wataelewa tu.
Na hakuna wa kutuzuia maana TUMEAMUA.
 
Back
Top Bottom