MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wakati genge la Ufipa likikazana kupotosha umma kuhusu uongozi thabiti wa Mama Samia Hassan, majirani zetu Zambia wameguswa sana na uongozi wa Mama kiasi kwamba wameshindwa kuvumilia na kuamua kuwatupia lawama viongozi wao.
Hii imetokea baada ya mtandao maarufu nchini Zambia uitwao Kalemba kuripoti kuanza kwa safari za treni za umeme Dar - Moro na Dar - Dom. Nimekuwekea link hapa ukajisomee hiyo habari na maoni ya majirani zetu.
www.facebook.com

Kalemba
PHOTO NEWS: Ready to be unwrapped.Tanzania enters a new age of high-speed rail as service from Dar es Salaam to Morogoro starts Friday, cutting travel time from 4hours to 1hr40 minutes. The new...