Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
Hiyo sentensi ya mwisho ni yakijinga sana.
Kwa hiyo wanaokosoa viongozi hawana cha kujishughurisha? Wanapenda vya bure.
Mkuu kama unaamini hivi basi kunashida mahali.
Kila kiongozi( in fact kila binadamu) lazima akosolewe.
Na kwenye mazuri atasifiwa pia.
Miongoni mwa Mambo yanayo tuangusha sana watu weusi ni ubinafsi,wivu,uvivu, chuki, na roho mbaya
ninacho weza kusema nikwamba
Samia ni president mzuri sana akii ongoza USA na Biden ni mpuuzi sana akii ongoza TZ
Tofauti yetu na Americans nikwamba wenzetu huungana nakuwa kitu kimoja linapo kuja swala la kitaifa
Na ndio maana pamoja na umli wa Biden na udhaifu alio nao bado ana heshimika zaidi kuliko raisi yeyote duniani
Muonye nduguyo mkiwa wawili msifie mkiwa hadharani ndio uungwana