Wazambia wawatupia lawama viongozi wao kushindwa kufanya mambo makubwa kama Tanzania


Miongoni mwa Mambo yanayo tuangusha sana watu weusi ni ubinafsi,wivu,uvivu, chuki, na roho mbaya

ninacho weza kusema nikwamba

Samia ni president mzuri sana akii ongoza USA na Biden ni mpuuzi sana akii ongoza TZ

Tofauti yetu na Americans nikwamba wenzetu huungana nakuwa kitu kimoja linapo kuja swala la kitaifa

Na ndio maana pamoja na umli wa Biden na udhaifu alio nao bado ana heshimika zaidi kuliko raisi yeyote duniani

Muonye nduguyo mkiwa wawili msifie mkiwa hadharani ndio uungwana
 
Umeongea point.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…