Wazamiaji wa Tanzania USA rudini bongo mbona kuna maendeleo mengi yanafanywa na Rais Samia

Wazamiaji wa Tanzania USA rudini bongo mbona kuna maendeleo mengi yanafanywa na Rais Samia

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
7,005
Reaction score
9,264
Salaaam...

Nikiri wazi namsikilozaga EBM sana kuna mambo anaongea "how to survive hizi nchi" kama upo legally sio wewe mzamiaji ni lazima utamtukana

Sasa majuzi nikamsikia Watanzania ambao "WAMEZAMIA" hawana means ya kupata vibali wanamtukana kisa yeye ni timu TRUMP

Yaani uombe B1/B2 uzamie USA, huna lugha, huwezi kupata mUSA uolewe nae/akuoe hasira zako unamrudisha mtu ambae ni US citizen akilinda familia yake (eti akusapoti wewe ambae UMEZAMIA)

Watanzania wanachekesha sana, rudini bongo mbona kuna maendeleo mengi yanafanywa na Samia

TRUMP Uishi milele

Chawa wa Trump hapa
 
Back
Top Bottom