Wazanzibar hawakuwa na tatizo na Utawala wa Sultan

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Ni wabara tu waliwafitinisha hasa huyo jamaa mbabe John Okello. Yeye alikuwa na kiherehere zaidi cha kuwakimbiza waarabu Zanzibar.

Lakini wenyeji ukiongea nao wanasema wala hakukua na shida yoyote ile na walitamani watawala waendelee kuwepo maana walikuwa wanawapatia hadi tende bure kabisa.

John Okello hakuwa anajua utamu wa Tende na ushamba wake ndo ulisababisha akapambane na watawala. Inaumiza sana. Leo Zanzibar ingekuwa kama Dubai.
 
Machotara hizbu waliwafanya wabantu wa Zanzibar wajione ni sawa kutawaliwa

Walikuwa na kiburi sana hao waarabu wangetusumbua TANGANYIKA ukizingatia walikuwa wameshaijua dunia mapema kuliko watanganyika

Kile kifinyo walichopata mpaka leo machotara hizbu waliibaki zanzibar huwa wanaishi kwa tahadhari
 

Yaan mwanaume mzima unalilia waarabu??
 

Wafuate hao mabwana zako waarabu waendele kukula hyo tigo!!

Dume zima linafungua uzi kuwatetea mabwana zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…