Zan one
Member
- May 9, 2021
- 72
- 26
Mnawapa hao mapandikiziWangekua wanaonyesha kwa vitendo kukataa teuzi za huku bara,wanadai mamlaka kamili lakini wakipewa teuzi huku bara hawakatai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnawapa hao mapandikiziWangekua wanaonyesha kwa vitendo kukataa teuzi za huku bara,wanadai mamlaka kamili lakini wakipewa teuzi huku bara hawakatai.
Umeijenga ww n babaakoWaichukue posta wameijenga wao!?
Ww unae kataa kwenu ndio tumwa hasssaautumwa kazi! hivi wewe ni wa kuwaambia watanganyika Wasenge! kweli? wakati huku ndio kwenu? kizazi chako kilienda huko kama watumwa tu na si vinginevyo. hivyo nyinyi ni wa kutawaliwa tu! mwenye asili yake aliuwawa ndio mwenye sehemu ya jina la zanzibar.
mliobaki ni machotara wa kitumwa na kitwana kizazi kilichokataliwa kisichokamilika kwao!
Wakubwa wakiongea dogo kaa kimyaKuna mwakilishi mmoja muhindi ni mfanyabiashara nilimuona juzi huko kwenye bunge lao nae kashupalia kuwa eti wao wanabaguliwa wakifanya biashara na bara eti bara wanawapendelea watu kutoka nje na eti kwao Zenj kumejaa bidhaa za bara wakati bara hakuna biashara za Zenj, kasahau kuwa mianya ya enzi za Salimin Amour amabyo wafanya biashara wakubwa Zenj walitumia kukwepa ushuru kwa kutuingizia michele na sukari ambazo walikuwa hawalipii ushuru na kwa kujifanya tayari imelipiwa huko Zanzibar wakati si kweli, tuwaache wajaze bidhaa kutoka Uarabuni na sisi tubaki na za kwetu tuone nani ataathirka zaidi, hawa jamaa wameanza kupata kibri toka mama awe mkuu wa kaya, wanaongea sana kana kwamba sisi ndio wanufaika na tunawanyonya.
Wamezoea kukaririshwa hao, ndio maana wanaambiwa binaadam w mwanzo alikua nyani nao wanakubalMliwahi angalau kugoogle kujifunza utumwa umefika lini Zanzibar ? Kusema wazanzibari wote wana asili ya Tanganyika naona kama kuinajisi historia. Nakupeni hint tuu, sehemu ambazo watu wamefika kwa utumwa mfano ni waafrika waliopo pale India, Afrika ya kusini, marekani, nchi za kusini mwa amerika n.k.
Kitu kimoja kina standout, wote unaweza kuona kama maisha yao yalianza wakati wa utumwa. Na iko wazi kihistoria kama wamefika izo sehemu kama wahanga wa utumwa. Ni kinyume chake ukitazama Zanzibar kuna ushahidi wa Archeological uislam umeingia way back. Just by googling Islam in Zanzibar - Wikipedia :
Kipindi hiki hakukua na pirika ya biashara ya utumwa + waarabu kutokea Tanganyika <-> Zanzibar, au watu walienda wenyewe na kujifanya watumwa ? Tumieni akili kidogo kama mnazo, sio kila kitu ni propaganda na siasa uchwara. Hata kutumia logic tuu kama wazanzibari wangetokea Tanganyika basi kungelikuwa na similarity za kitamaduni, mavazi, lugha n.k.
Hivi hiyo source of information alio toa umeiona, ni wikipedia Ni hao hao ambao unasema wanatukaririsha binadam wa kwanza alikua nyani, read, think before actingWamezoea kukaririshwa hao, ndio maana wanaambiwa binaadam w mwanzo alikua nyani nao wanakubal
Najua unakoelekea..hiyo barua ya kuomba kujitoa kwenye muungano, imeandikwa na imejibiwa wakati Magufuli yupo hai. Angalia imejibiwa tarehe 4 March. Maana yake iliandikwa kabla ya hapo. Na bado hata ilipojibiwa Magu alikuwepo, amekufa tar 17 March. Najua Mnataka kumlaumu mama Samia. Kwenda zenu huko!Why all of these now!
Na wewe waandikaWewe wasema
Vipi, upande wa visiwani Zanzibar hakuna watanganyika?
HamnaIna maana hawa kina bakharesa watarudi Zanzibar muungano ukivunjika? Niliwahi sikia wawekezaji wengi tu wa bara ni kutoka Zanzibar ni kweli?