Udini umekujaa ...wala Hatumo hukoKikubwa 100% inachangiwa na imani yao,Ukimpata kiongozi Muislam mwenye kumuogopa M/Mungu mtaishi kama mbinguni na hata unafiki hauwezi kuwepo kama hao watumishi na kiongozi lzm awe msikivu maisha ya dunia huwa hayamuhadai muislam mwenye imani lkn ukija kwa ndugu zetu wa imani nyingine dunia inawahadaa wanapenda umungu mtu na hata ukirefer tawala zilizotawala nchi hii utajifunza kitu ktk tawala za kiislam.
Mapinduzi yapi wamewahi kufanya?Okello alikuwa Mzanziberi?acha uongo, Wazanzibar wengi akili yao imejijenga kimapinduzi hivyo hawaogopani.
Ni kweli, alichobakiza ni kuwaponya wahanga wa 28.10.2020 na kuwaachia huru mateka wa kisiasa na wale wa UAMSHO, hapo atakuwa kamaliza kaziUkiangalia mkutano unaoendelea baina ya Rais Hussein Mwinyi na watumishi wa sekta ya afya nchini Zanzibar unavutia sana yani watumishi wapo huru sana kuongea na kujenga hoja , yaani wapo flexible with confidence mpaka Rais Mwinyi anaishia kucheka tu huku akitikisa kichwa ishara inayoonesha anakubaliana na hoja za watumishi.
Niseme tu wazanzibar sio wanafiki wapo wazi sana katika kuelezea jambo.
Kikubwa 100% inachangiwa na imani yao,Ukimpata kiongozi Muislam mwenye kumuogopa M/Mungu mtaishi kama mbinguni na hata unafiki hauwezi kuwepo kama hao watumishi na kiongozi lzm awe msikivu maisha ya dunia huwa hayamuhadai muislam mwenye imani lkn ukija kwa ndugu zetu wa imani nyingine dunia inawahadaa wanapenda umungu mtu na hata ukirefer tawala zilizotawala nchi hii utajifunza kitu ktk tawala za kiislam.
siku zote mtu mwenye fikra za kimasikini huwa ni mbaya sana!!
Kikubwa 100% inachangiwa na imani yao,Ukimpata kiongozi Muislam mwenye kumuogopa M/Mungu mtaishi kama mbinguni na hata unafiki hauwezi kuwepo kama hao watumishi na kiongozi lzm awe msikivu maisha ya dunia huwa hayamuhadai muislam mwenye imani lkn ukija kwa ndugu zetu wa imani nyingine dunia inawahadaa wanapenda umungu mtu na hata ukirefer tawala zilizotawala nchi hii utajifunza kitu ktk tawala za kiislam.
Ukiangalia mkutano unaoendelea baina ya Rais Hussein Mwinyi na watumishi wa sekta ya afya nchini Zanzibar unavutia sana yani watumishi wapo huru sana kuongea na kujenga hoja , yaani wapo flexible with confidence mpaka Rais Mwinyi anaishia kucheka tu huku akitikisa kichwa ishara inayoonesha anakubaliana na hoja za watumishi.
Niseme tu wazanzibar sio wanafiki wapo wazi sana katika kuelezea jambo.
Kwa akili zako Uhuru hana legacy? Hayo maridhiano anayoyafanya Kenya huyaoni kwa mustakabali bora nchi ya Kenya?Uhuru ana legacy gani?
Nime kuelewa Sana mkuu happy new yearHuyo mtoto kwenye Avatar yako ni wewe??!!
Nime kuelewa Sana mkuu happy new year
Naona umeanza uamshoKikubwa 100% inachangiwa na imani yao,Ukimpata kiongozi Muislam mwenye kumuogopa M/Mungu mtaishi kama mbinguni na hata unafiki hauwezi kuwepo kama hao watumishi na kiongozi lzm awe msikivu maisha ya dunia huwa hayamuhadai muislam mwenye imani lkn ukija kwa ndugu zetu wa imani nyingine dunia inawahadaa wanapenda umungu mtu na hata ukirefer tawala zilizotawala nchi hii utajifunza kitu ktk tawala za kiislam.
Masikini hawezi letea watu maendeleo, akimaliza huko aje bara atuvusheNdio maana Wazanzibar walimchagua kwa kura nyingi!
Lkn pia mkuu tambuwa kuwa, kwenye mahusiano Magufuli ana score chini ya sifuri.Sisi Bara tumejaa unafiki, woga, umbumbumbu
Kuna watu hawatafanikiwa kwa sababu ya roho mbaya tu .....H.Mwinyi alitangaza wazi kuwa atatumia style ya Magufuli na kweli kila anachofanya ni mtindo ni Kama Magufuli II ........CCM wamefanikiwaWabongo kulalamika na kejeli ndio zetu
Hakuna kiongozi duniani anaemzidi magufuli,kwa kuongea na wananchi na kutatua kero.
Magufuli anasafiri kwa kutumia barabara,haoni tabu kushuka kuagiza muhindi anauliza kero,anapiga simu live kwa waziri
Magufuli haoni tabu kumtumbua mkurugenzi huku akiwa njia panda ya himo anakula mishikaki.
Anachofanya Hussein Mwinyi,ni matokeo ya mafunzo ya stadi za urais alizofundishwa na Magufuli
Kumbukeni wakati wa kampeni,Hussein Mwinyi alisema kwenye uongozi wake atafuata style ya magufuli,na kweli anatumbua!
Lazima Tuambizane Ndugu Zangu!!Ndiyo Ukweli Wenyewe
Msema Kweli Ni Mpenzi Wa MunguLazima Tuambizane Ndugu Zangu!!