Wazanzibar wanaongea kwa uhuru sana na Rais wao mpaka Raha. Tanzania bara mnakwama wapi?

Wazanzibar wanaongea kwa uhuru sana na Rais wao mpaka Raha. Tanzania bara mnakwama wapi?

Ukiangalia mkutano unaoendelea baina ya Rais Hussein Mwinyi na watumishi wa sekta ya afya nchini Zanzibar unavutia sana yaani watumishi wapo huru sana kuongea na kujenga hoja, yaani wapo flexible with confidence mpaka Rais Mwinyi anaishia kucheka tu huku akitikisa kichwa ishara inayoonesha anakubaliana na hoja za watumishi.

Niseme tu wazanzibar sio wanafiki wapo wazi sana katika kuelezea jambo.
Kwa hiyo hawafokei?
 
Mimi niseme tu ukweli hili la upande mwingine ni taahira halikuchunguzwa vizuri tu kwenye vetting lisingefika hapo lilipo. Msemakweli mpenzi wa Mungu, au nasema uongo ndugu zangu?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu taratibu bc mwaka mpya huu
 
Wanavyoongea wale watumishi wa afya mbele ya Mwinyi..ingekuwa kwa hili Jiwe letu lililomshinda muwashi basi wale watumishi wangetekwa mmoja mmoja na baade tungeokota maiti Coco beach kwenye viroba
Hahaha nimecheka sana, mwaka Juzi walikuja maafisa usalama kutoka ofisi ya GSO iliyochini ya waziri mkuu sasa kuna maagizo ya kiutumishi walikuwa wanayatoa pamoja na kutufanyia vetting sasa walikuwa wanatumia lugha ya ukali sana.

Mimi nikanyosha kidole nikawaambia kwa nini mnatupa maelekezo kwa ukali na kutukalipia huku sisi sote ni watumishi wa umma??, asiee ukumbi mzima watu wakanisapoti nilipewa pongezi za ujasiri nyingi sana.habari zangu zilisambaa mji mzima.

Kimbembe kilikuja baada ya pale ,niliitwa kwenda kujieleza zaidi ya Mara 5 nikawa nafatiliwa,Siku 1 nikavunja ukimya nikawaambia fanyanyeni chochote mnachotaka mwanaume anazaliwa na kufa Siku 1,badaye yakikwisha.
 
Kiongozi, sishabikii udini, wala sio jambo jema kuwa ku-entertain udini! ila kwa jambo ili uliloandika hapa! nakuunga mkono asilimia kubwa sana japokuwa na mimi ni mkristo ila ndugu zetu waislamu ni waungwana sana hasa wale wanaijua dini yao vyema!!
Wakristo ndugu yangu dini yenyewe inachukuliwa poa hakuna maadili wala wanayodai hofu ya Mungu utashangaa wazungu walizoanzisha dini walishaacha kwenda makanisani

Binafsi ni mkristo na naamini Mungu ila kwenye makanisa huko nilishaacha kwenda maana kumejaa wanafiki na wajasiluamali wa dini

Huu ndio ukweli mchungj viongozi waislam wacha Mungu na wasomi ni waungwana kuliko wagalatia ambao ni makatili uzoefu imetuonyesha

Shida kwa waislam huwa inaletwa na wale wasio na elimu dunia yaani kutumiwa na watu wenye malengo ovu
 
Kikubwa 100% inachangiwa na imani yao,Ukimpata kiongozi Muislam mwenye kumuogopa M/Mungu mtaishi kama mbinguni na hata unafiki hauwezi kuwepo kama hao watumishi na kiongozi lzm awe msikivu maisha ya dunia huwa hayamuhadai muislam mwenye imani lkn ukija kwa ndugu zetu wa imani nyingine dunia inawahadaa wanapenda umungu mtu na hata ukirefer tawala zilizotawala nchi hii utajifunza kitu ktk tawala za kiislam.
Mimi ni mkristo huu ulioandika ndio ukweli wenyewe hata kwenye biashara ukifanya na muislam hakika hata kama ni MIA ilimradi iwe yako utaipata ila wakristo DHULMAT sina maelezo

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Ukiangalia mkutano unaoendelea baina ya Rais Hussein Mwinyi na watumishi wa sekta ya afya nchini Zanzibar unavutia sana yaani watumishi wapo huru sana kuongea na kujenga hoja, yaani wapo flexible with confidence mpaka Rais Mwinyi anaishia kucheka tu huku akitikisa kichwa ishara inayoonesha anakubaliana na hoja za watumishi.

Niseme tu wazanzibar sio wanafiki wapo wazi sana katika kuelezea jambo.
Sasa nyinyi waTanganyika mnashindwa wapi?
 
Tuhifadhi maneno ndio kwanza ana miezi minne kama sijakosea bado miaka minne na miezi sita, ila kwa watanzania walivyo wanafiki lazima baada ya miaka miwili au mitatu sifa za kumdhihaki na kujeli zinatashamili.

Muda ndio kila kitu tuvute subira
 
Pole! Unadhani rais wa nchi yupo kwa ajili ya watumishi wa serikali tu! Rais siyo mtu wa kucheka cheka, huko bara tulishatoka na vicheko hivyo siyo dili. Nchi ina vichaa, wavuta bangi wanywa gongo, masheikh, wachungaji, na kila aina ya uchfu, halafu unashsuri kuchekewa!
Kikwete alicheka sana,hawa hawa wakam 'brand' majina yote...wanafki sana.acha tuishi km mashetani
 
Kikubwa 100% inachangiwa na imani yao,Ukimpata kiongozi Muislam mwenye kumuogopa M/Mungu mtaishi kama mbinguni na hata unafiki hauwezi kuwepo kama hao watumishi na kiongozi lzm awe msikivu maisha ya dunia huwa hayamuhadai muislam mwenye imani lkn ukija kwa ndugu zetu wa imani nyingine dunia inawahadaa wanapenda umungu mtu na hata ukirefer tawala zilizotawala nchi hii utajifunza kitu ktk tawala za kiislam.
Mie ni Mkristo Kwa hili umesema kweli tupu. Ma Rais Waislamu Nchi hii wamefanya vizuri Sana ushahidi upo.
 
Back
Top Bottom