Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,559
Masikini hawezi letea watu maendeleo, akimaliza huko aje bara atuvusheNdio maana Wazanzibar walimchagua kwa kura nyingi!
Amezaliwa mjini na hakuja mijiniAmekulia ikulu kama Uhuru Kenyatta, anajua kuongoza nchi na mifumo yake!
Au nasema uongo ndugu zangu?
Ukiangalia mkutano unaoendelea baina ya Rais Hussein Mwinyi na watumishi wa sekta ya afya nchini Zanzibar unavutia sana yaani watumishi wapo huru sana kuongea na kujenga hoja, yaani wapo flexible with confidence mpaka Rais Mwinyi anaishia kucheka tu huku akitikisa kichwa ishara inayoonesha anakubaliana na hoja za watumishi.
Niseme tu wazanzibar sio wanafiki wapo wazi sana katika kuelezea jambo.
Hatutaki Tena Mambo Ya Subbotage!!Msema Kweli Ni Mpenzi Wa Mungu
Kama Aliyekuwa DAS KisaraweHatutaki Tena Mambo Ya Subbotage!!
Tumechelewa Kweli Kwelii!!
Mambo Ya Ajabu Kweri Kweri!!Kama Aliyekuwa DAS Kisarawe
Kazi Yake Kutongoza Wake Za Watu
Hilo ni muhimu sana kulingana na upuuzi wa akili nyingi za waafrika na ndio maana demokrasia ya wazungu haifai Afrika, ni machafuko kutokana na elimu 80% ni wajinga.Raisi ni mungu mtu africa hutakiwi kumzoea wala story lazima upoteee
Hahahahha kweliHilo ni muhimu sana kulingana na upuuzi wa akili nyingi za waafrika na ndio maana demokrasia ya wazungu haifai Afrika, ni machafuko kutokana na elimu 80% ni wajinga.
Sasa uruhusu rais Afrika awe kama Marekani, thubutu, atauawa na ninyi mtachinjana.
Kiongozi, sishabikii udini, wala sio jambo jema kuwa ku-entertain udini! ila kwa jambo ili uliloandika hapa! nakuunga mkono asilimia kubwa sana japokuwa na mimi ni mkristo ila ndugu zetu waislamu ni waungwana sana hasa wale wanaijua dini yao vyema!!Kikubwa 100% inachangiwa na imani yao,Ukimpata kiongozi Muislam mwenye kumuogopa M/Mungu mtaishi kama mbinguni na hata unafiki hauwezi kuwepo kama hao watumishi na kiongozi lzm awe msikivu maisha ya dunia huwa hayamuhadai muislam mwenye imani lkn ukija kwa ndugu zetu wa imani nyingine dunia inawahadaa wanapenda umungu mtu na hata ukirefer tawala zilizotawala nchi hii utajifunza kitu ktk tawala za kiislam.
Pole! Unadhani rais wa nchi yupo kwa ajili ya watumishi wa serikali tu! Rais siyo mtu wa kucheka cheka, huko bara tulishatoka na vicheko hivyo siyo dili. Nchi ina vichaa, wavuta bangi wanywa gongo, masheikh, wachungaji, na kila aina ya uchfu, halafu unashsuri kuchekewa!Ukiangalia mkutano unaoendelea baina ya Rais Hussein Mwinyi na watumishi wa sekta ya afya nchini Zanzibar unavutia sana yaani watumishi wapo huru sana kuongea na kujenga hoja, yaani wapo flexible with confidence mpaka Rais Mwinyi anaishia kucheka tu huku akitikisa kichwa ishara inayoonesha anakubaliana na hoja za watumishi.
Niseme tu wazanzibar sio wanafiki wapo wazi sana katika kuelezea jambo.
Pale Jiwe akimzungumzia mtu basi utaona huyo mtu anainuka na kusimama hadi aambiwe a
Hakuna nchi duniani unaweza dhihaki mkuu wa nchi, hata kuwe na uhuru namna gani kuna mipaka inapokuja swala hilo.Raisi ni mungu mtu africa hutakiwi kumzoea wala story lazima upoteee
Ha ha ha haHuyu mwingine anajua kila kitu hivyo haoni sababu ya kumsikiliza mtu
Kwa nini hii comment imepata likes nyingi kuliko nyingine zote?Kikubwa 100% inachangiwa na imani yao,Ukimpata kiongozi Muislam mwenye kumuogopa M/Mungu mtaishi kama mbinguni na hata unafiki hauwezi kuwepo kama hao watumishi na kiongozi lzm awe msikivu maisha ya dunia huwa hayamuhadai muislam mwenye imani lkn ukija kwa ndugu zetu wa imani nyingine dunia inawahadaa wanapenda umungu mtu na hata ukirefer tawala zilizotawala nchi hii utajifunza kitu ktk tawala za kiislam.
Hahaha husemi uongo kabisa. Huyo Uhuru wa visiwaniAmekulia ikulu kama Uhuru Kenyatta, anajua kuongoza nchi na mifumo yake!
Au nasema uongo ndugu zangu?
A.k.a kusukumizwaHuyu aliyeingizwa kwa damu za watu
Haya maigizo Kingwendu amefanya sana hadi sasa anazeeka.Wabongo kulalamika na kejeli ndio zetu...
Chadema hamna mpango wa kutawala?Huyu aje awe Rais wa Muungano
[emoji23][emoji23][emoji23]Lakini ndio huyo anakutawala wewe wazazi wako na ukoo wako woteVitu vingine wala sio vya kushangaza, wewe mtu amekulia kwenye kuchunga ng'ombe huko, na amekulia kwenye maisha ya kimasikini uje utegemee atakuwa na utu?!!ni wachache sana, siku zote mtu mwenye fikra za kimasikini huwa ni mbaya sana!!
Acha roho ya chuki itakutoa kiriba rohoHuyu mwingine anajua kila kitu hivyo haoni sababu ya kumsikiliza mtu