Kwa hiyo hawafokei?Ukiangalia mkutano unaoendelea baina ya Rais Hussein Mwinyi na watumishi wa sekta ya afya nchini Zanzibar unavutia sana yaani watumishi wapo huru sana kuongea na kujenga hoja, yaani wapo flexible with confidence mpaka Rais Mwinyi anaishia kucheka tu huku akitikisa kichwa ishara inayoonesha anakubaliana na hoja za watumishi.
Niseme tu wazanzibar sio wanafiki wapo wazi sana katika kuelezea jambo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu taratibu bc mwaka mpya huuMimi niseme tu ukweli hili la upande mwingine ni taahira halikuchunguzwa vizuri tu kwenye vetting lisingefika hapo lilipo. Msemakweli mpenzi wa Mungu, au nasema uongo ndugu zangu?
Hahaha nimecheka sana, mwaka Juzi walikuja maafisa usalama kutoka ofisi ya GSO iliyochini ya waziri mkuu sasa kuna maagizo ya kiutumishi walikuwa wanayatoa pamoja na kutufanyia vetting sasa walikuwa wanatumia lugha ya ukali sana.Wanavyoongea wale watumishi wa afya mbele ya Mwinyi..ingekuwa kwa hili Jiwe letu lililomshinda muwashi basi wale watumishi wangetekwa mmoja mmoja na baade tungeokota maiti Coco beach kwenye viroba
Wakristo ndugu yangu dini yenyewe inachukuliwa poa hakuna maadili wala wanayodai hofu ya Mungu utashangaa wazungu walizoanzisha dini walishaacha kwenda makanisaniKiongozi, sishabikii udini, wala sio jambo jema kuwa ku-entertain udini! ila kwa jambo ili uliloandika hapa! nakuunga mkono asilimia kubwa sana japokuwa na mimi ni mkristo ila ndugu zetu waislamu ni waungwana sana hasa wale wanaijua dini yao vyema!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] sometimes sura inaweza akisi roho ya mtuInategemea na sura
Hata Wapumbavu huzeeka.[emoji23][emoji23][emoji23]Lakini ndio huyo anakutawala wewe wazazi wako na ukoo wako wote
Mimi ni mkristo huu ulioandika ndio ukweli wenyewe hata kwenye biashara ukifanya na muislam hakika hata kama ni MIA ilimradi iwe yako utaipata ila wakristo DHULMAT sina maelezoKikubwa 100% inachangiwa na imani yao,Ukimpata kiongozi Muislam mwenye kumuogopa M/Mungu mtaishi kama mbinguni na hata unafiki hauwezi kuwepo kama hao watumishi na kiongozi lzm awe msikivu maisha ya dunia huwa hayamuhadai muislam mwenye imani lkn ukija kwa ndugu zetu wa imani nyingine dunia inawahadaa wanapenda umungu mtu na hata ukirefer tawala zilizotawala nchi hii utajifunza kitu ktk tawala za kiislam.
Hapana ndugu yangu jamaa amesema iliyokweli Mimi ni mkristo huwa tunahadaiwa sana na ya duniaUdini umekujaa ...wala Hatumo huko
Ndio ukweli[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] sometimes sura inaweza akisi roho ya mtu
Sasa nyinyi waTanganyika mnashindwa wapi?Ukiangalia mkutano unaoendelea baina ya Rais Hussein Mwinyi na watumishi wa sekta ya afya nchini Zanzibar unavutia sana yaani watumishi wapo huru sana kuongea na kujenga hoja, yaani wapo flexible with confidence mpaka Rais Mwinyi anaishia kucheka tu huku akitikisa kichwa ishara inayoonesha anakubaliana na hoja za watumishi.
Niseme tu wazanzibar sio wanafiki wapo wazi sana katika kuelezea jambo.
Hujielewi!
Uoga ni mbaya sana,hasa akiwa nao mwanmme.Pale Jiwe akimzungumzia mtu basi utaona huyo mtu anainuka na kusimama hadi aambiwe akae
Jiwe ni Mungu mdogo wa mizimu.Pale Jiwe akimzungumzia mtu basi utaona huyo mtu anainuka na kusimama hadi aambiwe akae
[emoji1787][emoji23][emoji23] Kwakweli nilikuwa nataka kupita bila kukomenti lakini wewe jamaa umenifanya nimekomenti[emoji28]
Mkuu uselete shobo. Mwinyi anafuata nyayo za baba yake kila kitu ruksa..huyu mwehu wetu anatumia sana nguvu na mabavuWabongo kulalamika na kejeli ndio zetu...
Kikwete alicheka sana,hawa hawa wakam 'brand' majina yote...wanafki sana.acha tuishi km mashetaniPole! Unadhani rais wa nchi yupo kwa ajili ya watumishi wa serikali tu! Rais siyo mtu wa kucheka cheka, huko bara tulishatoka na vicheko hivyo siyo dili. Nchi ina vichaa, wavuta bangi wanywa gongo, masheikh, wachungaji, na kila aina ya uchfu, halafu unashsuri kuchekewa!
UdiniKwa nini hii comment imepata likes nyingi kuliko nyingine zote?
Mie ni Mkristo Kwa hili umesema kweli tupu. Ma Rais Waislamu Nchi hii wamefanya vizuri Sana ushahidi upo.Kikubwa 100% inachangiwa na imani yao,Ukimpata kiongozi Muislam mwenye kumuogopa M/Mungu mtaishi kama mbinguni na hata unafiki hauwezi kuwepo kama hao watumishi na kiongozi lzm awe msikivu maisha ya dunia huwa hayamuhadai muislam mwenye imani lkn ukija kwa ndugu zetu wa imani nyingine dunia inawahadaa wanapenda umungu mtu na hata ukirefer tawala zilizotawala nchi hii utajifunza kitu ktk tawala za kiislam.
Walikuwa wanataka ving'ora,wamepata.mapambio yameanza...[emoji23][emoji23]Baada ya hoja ya ICC na ile ya vikwazo kufa kifo cha mende ndio mmeamua kuja na hii sasa?
Ni idadi ya waliobanwa na vyuma.Kwa nini hii comment imepata likes nyingi kuliko nyingine zote?