Wazanzibar wanaongea kwa uhuru sana na Rais wao mpaka Raha. Tanzania bara mnakwama wapi?

Mimi ni muislamu. Usiingize udini kwenye hoja yako? Sasa unaposifia uislamu na waislamu unataka watu wenye imani tofauti waanze kuutukana uislamu au? Wewe ni muislamu kweli au kibaraka wa shetani? Jiheshimu
 

Na huyo ndio rahisi wa jamuhuri ya muungano hapo baadae nasema uwongo ndugu zangu?[emoji16]
 
Acha Upunga wewe Kitimoto.
Unaanza kutuletea mambo ya udini ili iweje au Mnyamulenge wewe au Bokoharam
 
Ipo tofauti Kati ya kiongozi na mtawala.
Mtawala utumia nguvu zaidi kuliko akili, huwa na fear of unknown, ajiamini, ukosefu wa utulivu, ujuaji, kuyaamini mawazo yake, kutoshaurika, yeye ndie utoa dira yaani ufikiri kwa niaba ya wananchi.
 
Ndg unetudanganya peupe kabisa.
Nynyi ndio mlisema bara inawachagulia Rais hamtaki leo hii kawa bora ee. Acheni unafiki bwana. Acheni afanye kazi yake. Msilete udini hapa.
 

Anejifunza kwa maalim seif huyo Magufuli..
 
" Kutakuwa na mkutano na waziri wa wizara yetu X tarehe ......
Hivyo kila mkuu wa idara na msimamizi ateue watumishi watakao wakilisha kwenye mkutano huo. Mtumishi awe mwenye maadili na sio mtu wa kuhoji kila jambo"
Mwisho wa kunukuu.
Hiyo SMS niliikuta sehemu kwa bahati mbaya. Hayo ndio yanayoendelea huku Tanganyika.
 
Mwingine nani??.


Kwanini GSO wameitoa kwenye TISS?
 
Huu ni ukweli mchungu, kipindi cha Kikwete tulishuhudia waraka kila uchwao kutoka makanisani, alipoingia mwenzao pen zote zikagoma kuandika na karatasi zote zikaloana na maji
 
Na bila kusahau karatasi ya maswali ya kuuliza unapewa
 
Kuna Mmoja hapo amekulia sana Mjini na Kustaarabika mapema wakati mwingine Maisha yake yote yalikuwa Kijijini na Mbigili kazitoa Ada Estate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…