Nimeuliza swali, sijamnanga mtu yeyote. Mimi hata kwa Tanganyika sikubaliani na wakazi wa Dar kwenda kuwa wabunge wa mikoa mingine n.k Naamini mbunge anatakiwa awe mkazi wa kudumu wa jimbo husika.Mnataka kuwananga wazanzibar?kwani nyrerere alilazimishwa kuifuta tanganyika na nani?