Wazanzibar wanaruhusiwa kugombea ubunge na udiwani Tanganyika?

Mnataka kuwananga wazanzibar?kwani nyrerere alilazimishwa kuifuta tanganyika na nani?
Nimeuliza swali, sijamnanga mtu yeyote. Mimi hata kwa Tanganyika sikubaliani na wakazi wa Dar kwenda kuwa wabunge wa mikoa mingine n.k Naamini mbunge anatakiwa awe mkazi wa kudumu wa jimbo husika.
 
hata Watanganyika pia wanaruhusiwa kugomebea Ubunge Zanzibar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…