Wazanzibar wanataka Muungano tulionao uendelee

Wazanzibar wanataka Muungano tulionao uendelee

hakuna lolote ila wizi tu wamadaraka na woga dhulma na khofu juu ya maendeleo ya znz
 
suala la mafuta ya tanganyika niyatanganyika na zanzibar haitakuwa dhambi kubarikiwa mafuta na mungu tanganyika ina madini almasi dhahabu pamba mito milima mbuga zawanyama sijawahi kusikia wakilalamika waznzibar juu ya raslimali za tanganyika ila watanaganyika ndo wanaoongoza kwakuwakhofia wazanzibar kiuchumi katika nchi yao na kuwadhulumu fedha na mali zao na ndo mana watanganyika hawajiamina hata kidogo kuawaachia huru wazanziba ninzanzibar gani anaetaka muunagano subir mwisho wa maoni ila ni haki yao kudai nchi yao ikiwa wannaona wanadhulumiwa na tanganyika kama sudani kusini walivyojigawa nchi moja zikawa 2 jee hapa penye nchi 2 zilizo wazi
 
wasi wasi wako ni upi na wewe sio mzamzibar yanakukhusu hem twambie wasiwasi wako nisikwambie hayakuhusu hatama mdivyo ila niwajibu wakukusikiliza
 
Back
Top Bottom