suala la mafuta ya tanganyika niyatanganyika na zanzibar haitakuwa dhambi kubarikiwa mafuta na mungu tanganyika ina madini almasi dhahabu pamba mito milima mbuga zawanyama sijawahi kusikia wakilalamika waznzibar juu ya raslimali za tanganyika ila watanaganyika ndo wanaoongoza kwakuwakhofia wazanzibar kiuchumi katika nchi yao na kuwadhulumu fedha na mali zao na ndo mana watanganyika hawajiamina hata kidogo kuawaachia huru wazanziba ninzanzibar gani anaetaka muunagano subir mwisho wa maoni ila ni haki yao kudai nchi yao ikiwa wannaona wanadhulumiwa na tanganyika kama sudani kusini walivyojigawa nchi moja zikawa 2 jee hapa penye nchi 2 zilizo wazi