Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Kuna msukumo mkubwa wa Wazanzibari ukichagizwa na uislam kwa Rais Samia na Rais Mwinyi kutaka Serikali ya Zanzibar kujiunga na OIC ili vijana wa Zanzibar wapate ajira na ujenzi wa bandari kubwa kisiwani Unguja.
Hilo ni jambo jema kwa maendeleo kama yatapatikana kweli. Changamoto iliyopo ni maendeleo hayo kunasibishwa na uislam na waislam ambapo unaweza ukazaliwa ubaguzi mbaya sana wa kidini.
Angalizo kwa wale wanaotaka Zanzibar kujiunga na OIC ni kuwa kuna nchi nyingi za Kiafrika ambazo zilijiunga na Jumuiya hiyo kwa matumaini ya kupata maendeleo makubwa na ya haraka, lakini badala yake yakuzaliwa makundi ya magaidi wa kiislam ambayo yamekuwa hatari kwa serikali za nchi hizo na hakuna maendeleo yaliyokusudiwa. Mfano ni jirani yetu Uganda ambayo ni mwanachama wa OIC na walichovuna ni kuzuka kwa kikundi cha kigaidi kinachoisumbua serikali ya Museveni na hakuna mchango wo wote wa maendeleo ambao Uganda inapata!