Wazanzibari bado wanataka OIC, Watanganyika tubariki tuyaone maendeleo

Wazanzibari bado wanataka OIC, Watanganyika tubariki tuyaone maendeleo

Hiyo OIC huwa ina manufaa gani katika sehemu ya mwili??

Hili jambo huwa nina uhakika huwa lina anzishwa kwa makusudi maalum ,

Maana ukijaribu kutafuta tofauti yake na hizi jumuiya nyingine ambazo nyingi tu tupo humo huoni na wala hakuna umaalum huo.
Another useless organization tu ambao nchi za kiislam zinapenda kulalamika wanaonewa na ambao sio waislamu ila angalia majanga wanayoyafanya wao; Sudan, Afghanistan, Somalia, Yemen, Saudi, Iraq. Majanga kibao ila wawezwe kulalamika waislam wakiwajibishwa ubabe wao ila dhumuni kubwa ni kuweka fikra ya Umma km dola moja yaani Caliphate
 
Joining OIC is about Foreign relations, which falls under Union matters. So as long as sisi Watanganyika hatuna interest na hicho kikundi cha magaidi, the other side of the Union can not join. Waachane na hili suala. Hata enzi za Mzee wa Ruksa , wenzetu wa Visiwani walishataka kuanza hizi chokochoko, ila bahati nzuri Mchonga ( RIP) alikuwa bado active na aliwakemea kwa nguvu zake zote wakaufyata na huyo mzee Ruksa wao. Sasa ngoja tumpime na huyu kwa hili.
Muungano uvunjwe haraka
 
Hiyo OIC huwa ina manufaa gani katika sehemu ya mwili??

Hili jambo huwa nina uhakika huwa lina anzishwa kwa makusudi maalum ,

Maana ukijaribu kutafuta tofauti yake na hizi jumuiya nyingine ambazo nyingi tu tupo humo huoni na wala hakuna umaalum huo.
Ni usumbufu tu
 
Ni wakati wa kuvunja Muungano tujiunge na Waislamu wenzetu fursa nyingi zinatupita tuwaachie Wagalatia na makafiri ardhi yao
 
Waende na wawachukue hao wote aliowataja maana ni wazanzibari sio watanganyika.
 
Sioni tatizo lolote

Mbona tumejiunga na Vatican? 😂
Ndiyo naingia JF, Vatican ......................
Is Vatican a city or a country?


Is Vatican City A Country? - Carpe Diem Tours


Is Vatican city a country? The answer, in short, is yes. The world's smallest city-state came into existence on the 11th of February 1929 after the signing of the Lateran Treaty. This treaty granted Vatican City the status of a country, bringing to an end a period of political and religious turmoil in Italy.
 
Ujinga mwingine bwana; wanadhan wakijiunga OIC ndo wataendelea??? Somalia, Yemen, Sudan zote zipo na Nigeria ila wapi?? Hamna watu wabaguzi kama waislam ila wao sasa wakiguswa.....islamaphobia islamaphobia....mxieeeu yaani iyo Zanzibari ijitenge tu iwe nchi yao na uku Tanganyika tuombe tu Wakristo waendelee kuwa the majority coz hao na wenye dini zingine ndo nawaona wanaweza kutenganisha imani zao na serikali ila sio waislamu
Saa hii OIC imeufyata wakati Israel inafanya yake huko Lebanon!
 
Hapa sasa jersey ya chadema inachafuliwa. Haya maneno yangesemwa wakati huyu mzee kavaa kanzu ndiyo ingekuwa pahala pake.
 
..Tanzania ijiunge na OIC.

..Zanzibar wakipata misaada ni nafuu kwetu Watanganyika.
 
Hapa sasa jersey ya chadema inachafuliwa. Haya maneno yangesemwa wakati huyu mzee kavaa kanzu ndiyo ingekuwa pahala pake.
Huyo ni pandikizi la CCM ndani ya Chadema!
 
Back
Top Bottom