Wazanzibari bado wanataka OIC, Watanganyika tubariki tuyaone maendeleo

Wazanzibari bado wanataka OIC, Watanganyika tubariki tuyaone maendeleo

Huyu mzee angepaswa kuonywa na viongozi wa juu
 
Kwanza naunga mkono sio Zanzibar kujiunga na OIC bali Tanzania tujiunge na OIC.

Kila nchi inaweza kufaidika kwa fursa zake, hivyo failures ya Uganda kufaidika na OIC is not an excuse Zanzibar isifaidike!. Kuahidiwa Mahakama ya Kadhi, kujiunga na OIC kumeleta mshikamano na serikali? na Kumbe CCM na Ikulu ndio inaratibu Tanzania kuwa nchi ya Kiislam

P
Singapore,South Korea, Thailand hawapo OIC lakini uchumi wao Upo vizuri, si vibaya tuendelee kujifunza pia kwa nchi ambazo hazipo OIC lakini zina excell kiuchumi.
 
Hakuna kujiunga na magaidi, nikiwa rais naifuta nchi ya Zanzibar kule nateua wakuu wa mikoa 2 mkoa wa unguja na mkoa wa pemba, kisha napeleka jeshi atakayeguna hata kimoyomoyo anatandikwa fimbo 5.

Ni lazima tuwafundishe ustaarabu.
Utakuwa wewe una umwa, sisi sahivi ndiyo manamba wa Zanzibar tunalipa kodi tunaenda kuijenga Zanzibar
 
Uganda walipelekwa na Nduli Idd Amin ili serikali yake ipate uungwaji mkono na waislam na silaha kutoka nchi za Kiarabu!
Kumbee 😳😀
Halafu baada ya Nduli Amin woote waliofuata mpaka Museveni wameshindwa kujitoa ??! 😅🙄
 
Kumbee 😳😀
Halafu baada ya Nduli Amin woote waliofuata mpaka Museveni wameshindwa kujitoa ??! 😅🙄
Baada ya Idd Amin alifuata Prof. Lule ambaye alipinduliwa na jeshi na wakafuata wanajeshi wengine kwa kupinduana. Baadaye Museveni akiwa na Kagame ambao walikuwa wapiganaji wa msituni wakalishinda jeshi na kuchukua madaraka. Mpaka leo Museveni yupo madarakani lakini hana mpango wa kuitoa Uganda katika OIC na wala wala hajishirikishi nayo sana!
 
Kwanza naunga mkono sio Zanzibar kujiunga na OIC bali Tanzania tujiunge na OIC.

Kila nchi inaweza kufaidika kwa fursa zake, hivyo failures ya Uganda kufaidika na OIC is not an excuse Zanzibar isifaidike!. Kuahidiwa Mahakama ya Kadhi, kujiunga na OIC kumeleta mshikamano na serikali? na Kumbe CCM na Ikulu ndio inaratibu Tanzania kuwa nchi ya Kiislam

P
Waliojiunga na OIC wamefaidikaje??
Ukiacha uganda kutofaidika nani mwingine anafaidika? OIC Ina advantages zipi?!
 
H
Joining OIC is about Foreign relations, which falls under Union matters. So as long as sisi Watanganyika hatuna interest na hicho kikundi cha magaidi, the other side of the Union can not join. Waachane na hili suala. Hata enzi za Mzee wa Ruksa , wenzetu wa Visiwani walishataka kuanza hizi chokochoko, ila bahati nzuri Mchonga ( RIP) alikuwa bado active na aliwakemea kwa nguvu zake zote wakaufyata na huyo mzee Ruksa wao. Sasa ngoja tumpime na huyu kwa hili.
Ahaaa kumbe OIC ni kundi la kigaidi kama Hisbollah
 
Kuna msukumo mkubwa wa Wazanzibari ukichagizwa na uislam kwa Rais Samia na Rais Mwinyi kutaka Serikali ya Zanzibar kujiunga na OIC ili vijana wa Zanzibar wapate ajira na ujenzi wa bandari kubwa kisiwani Unguja.

Hilo ni jambo jema kwa maendeleo kama yatapatikana kweli. Changamoto iliyopo ni maendeleo hayo kunasibishwa na uislam na waislam ambapo unaweza ukazaliwa ubaguzi mbaya sana wa kidini.

Angalizo kwa wale wanaotaka Zanzibar kujiunga na OIC ni kuwa kuna nchi nyingi za Kiafrika ambazo zilijiunga na Jumuiya hiyo kwa matumaini ya kupata maendeleo makubwa na ya haraka, lakini badala yake yakuzaliwa makundi ya magaidi wa kiislam ambayo yamekuwa hatari kwa serikali za nchi hizo na hakuna maendeleo yaliyokusudiwa. Mfano ni jirani yetu Uganda ambayo ni mwanachama wa OIC na walichovuna ni kuzuka kwa kikundi cha kigaidi kinachoisumbua serikali ya Museveni na hakuna mchango wo wote wa maendeleo ambao Uganda inapata!

View attachment 3112979
huyu jamaa ametoa picha yote na ramani wanzanzibari wanafanya kwa Tanganyika. ndio maana watu waliuliza kwanini sisi tunakopa zanzibar wanafaidi ila hawalipi, kwanini deni la umeme kipindi cha magu walisamehewa kwahiyo sisi tunawalipia umeme? kuna faida gani Tanganyika inapata toka kwa Zanzibar? na kwa bahati mbaya, wakristo Tanzania ni 60% kwa sasa na wanazidi kuongezeka hivyo wasahau kabisa OIC.
 
Kwanza naunga mkono sio Zanzibar kujiunga na OIC bali Tanzania tujiunge na OIC.

Kila nchi inaweza kufaidika kwa fursa zake, hivyo failures ya Uganda kufaidika na OIC is not an excuse Zanzibar isifaidike!. Kuahidiwa Mahakama ya Kadhi, kujiunga na OIC kumeleta mshikamano na serikali? na Kumbe CCM na Ikulu ndio inaratibu Tanzania kuwa nchi ya Kiislam

P
Kwanza naunga mkono sio Zanzibar kujiunga na OIC bali Tanzania tujiunge na OIC.

Kila nchi inaweza kufaidika kwa fursa zake, hivyo failures ya Uganda kufaidika na OIC is not an excuse Zanzibar isifaidike!. Kuahidiwa Mahakama ya Kadhi, kujiunga na OIC kumeleta mshikamano na serikali? na Kumbe CCM na Ikulu ndio inaratibu Tanzania kuwa nchi ya Kiislam

P
This is a secular state. Acha upumbavu wako
 
SISI WABARA TUNAJILAZIMISHA TU. WAZANZIBAR HAWATUPENDI HATA KIDOGO. WANGETAMANI MUUNGANO WAO UNGEKUWA HATA NA KENGE KULIKO TANZANIA BARA.
 
Wazanzibar ni watu wa chuki sn
Hilo nalo neno, ila nilikuwa nakumbushia ya Lukuvi aliposema wazanzibari wanataka waarabu warudi ili watutawale na ni ni hatari sana kwa usalama
Hayo maneno yalikuwa ni mabaya mno kwa waziri kuyaongea tena akaungwa mkono na viongozi wa dini kanisani wakisikika kabisa
Kuhusu chuki zao sijui boss maana kama wanataka kujitenga ni shauri lao kwa wanavyoona wao
Sisi kama tunataka kisiwa tunavyo vingi tena tunaweza kumwambia mchina atutengenezee kikubwa maana mchina hashindwi kitu na ameisha tengeneza artificial island huko
 
Baada ya Idd Amin alifuata Prof. Lule ambaye alipinduliwa na jeshi na wakafuata wanajeshi wengine kwa kupinduana. Baadaye Museveni akiwa na Kagame ambao walikuwa wapiganaji wa msituni wakalishinda jeshi na kuchukua madaraka. Mpaka leo Museveni yupo madarakani lakini hana mpango wa kuitoa Uganda katika OIC na wala wala hajishirikishi nayo sana!
Basi yapo manufaa wanayapata kule OIC !
 
Back
Top Bottom