Kwani hukuona kwenye tamasha la Kizimkazi walipelekwa wanyama mbalimbali hadi simba aliyepewa jina la Tundu Lissu?Kasema hawataki kuletewa pundamilia...
kumbe Tanganyika wanagawa mpaka maliasili kwa Zanzibar...
Hakuna watu mazuzu duniani kama Watanganyika
Julius Nyerere, Baba wa Taifa la mazezeta, vizazi vya mbele vinavyosoma shule binafsi, na vyenye access ya tehama ya kuwafumbua upeo kama watu wengine duniani, watakuja kusema alivyokuwa na uelewa wa Chifu Mangungo
😂😂😂Nyerere alituunganisha na nchi ya hovyo sn
Hakuna uhuru wa kutoa maoni kama kujadili kuvunja muungano ni kosa la uhaini.Labda kama hukuwepo wakati ule, watu walikuwa wanatoa maoni kwa uhuru kabisa na wala hakukuwa na questionnaire ya kujaza!
SorryKatiba ni ngumu sana kwa walio wengi, kwa vile Zanzibar ina uhuru wa mambo yake ya ndani yasiyo ya muungano, hivyo wakadhani wanaweza kujiunga tuu, hivyo wakajiunga.
Kumbe Zanzibar sio nchi, OIC ni ya nchi. Ilipofika Bungeni wabunge wakachamaa ikalazimishwa kujitoa kwa ahadi ya Tanzania kujiunga.
Kitendo hicho ni kuionea Zanzibar kama tunavyowaonea Waislamu kuwanyima mahakama ya kadhi.
Zanzibar waachwe wajiunge OIC.
Mwisho unapomkosea mtu kwa kumtukana bila kosa lolote, akikuuliza kwanini umemtukana, usikae kimya as if you did nothing wrong!, jifunze kusema sorry!.
P
Tuvumilie hakuna namna
Joining OIC is about Foreign relations, which falls under Union matters. So as long as sisi Watanganyika hatuna interest na hicho kikundi cha magaidi, the other side of the Union can not join. Waachane na hili suala. Hata enzi za Mzee wa Ruksa , wenzetu wa Visiwani walishataka kuanza hizi chokochoko, ila bahati nzuri Mchonga ( RIP) alikuwa bado active na aliwakemea kwa nguvu zake zote wakaufyata na huyo mzee Ruksa wao. Sasa ngoja tumpime na huyu kwa hili.
Bro una akili kweli ila leo umeboronga .....uganda ilijiunga oic sababu ya idi amini sio waganda walipenda ........ Tanzania wakiristo 50% waislam 32% ....why tujiunge na oic wakati nchi hii siyo kiislam.....
Uganda hakuna kikundi Cha Waasai Cha Kiislamu.Kuna msukumo mkubwa wa Wazanzibari ukichagizwa na uislam kwa Rais Samia na Rais Mwinyi kutaka Serikali ya Zanzibar kujiunga na OIC ili vijana wa Zanzibar wapate ajira na ujenzi wa bandari kubwa kisiwani Unguja.
Hilo ni jambo jema kwa maendeleo kama yatapatikana kweli. Changamoto iliyopo ni maendeleo hayo kunasibishwa na uislam na waislam ambapo unaweza ukazaliwa ubaguzi mbaya sana wa kidini.
Angalizo kwa wale wanaotaka Zanzibar kujiunga na OIC ni kuwa kuna nchi nyingi za Kiafrika ambazo zilijiunga na Jumuiya hiyo kwa matumaini ya kupata maendeleo makubwa na ya haraka, lakini badala yake yakuzaliwa makundi ya magaidi wa kiislam ambayo yamekuwa hatari kwa serikali za nchi hizo na hakuna maendeleo yaliyokusudiwa. Mfano ni jirani yetu Uganda ambayo ni mwanachama wa OIC na walichovuna ni kuzuka kwa kikundi cha kigaidi kinachoisumbua serikali ya Museveni na hakuna mchango wo wote wa maendeleo ambao Uganda inapata!
View attachment 3112979
Aanhaaa....kumbe Tundu Lissu ni jina la simba aliyepelekwa Zanzibar ?Kwani hukuona kwenye tamasha la Kizimkazi walipelekwa wanyama mbalimbali hadi simba aliyepewa jina la Tundu Lissu?
Huwa unaongea sarcastically, lakini wengine huku huwa hatujui kuwa hiyo ni sarcasm, tunachojua na kuamini ni hilo 'Boko' ulilotoa na Wala siyo hiyo hidden meaning.Kwanza naunga mkono hoja Wazanzibari sio tuu waruhusiwe kujiunga OIC, bali Tanzania tujiunge na OIC kwaajili ya Wazanzibari!
Kila nchi inaweza kufaidika kwa fursa zake, hivyo failures ya Uganda kufaidika na OIC is not an excuse Zanzibar isifaidike!. Kuahidiwa Mahakama ya Kadhi, kujiunga na OIC kumeleta mshikamano na serikali? na Kumbe CCM na Ikulu ndio inaratibu Tanzania kuwa nchi ya Kiislam
P
Kuna msukumo mkubwa wa Wazanzibari ukichagizwa na uislam kwa Rais Samia na Rais Mwinyi kutaka Serikali ya Zanzibar kujiunga na OIC ili vijana wa Zanzibar wapate ajira na ujenzi wa bandari kubwa kisiwani Unguja.
Hilo ni jambo jema kwa maendeleo kama yatapatikana kweli. Changamoto iliyopo ni maendeleo hayo kunasibishwa na uislam na waislam ambapo unaweza ukazaliwa ubaguzi mbaya sana wa kidini.
Angalizo kwa wale wanaotaka Zanzibar kujiunga na OIC ni kuwa kuna nchi nyingi za Kiafrika ambazo zilijiunga na Jumuiya hiyo kwa matumaini ya kupata maendeleo makubwa na ya haraka, lakini badala yake yakuzaliwa makundi ya magaidi wa kiislam ambayo yamekuwa hatari kwa serikali za nchi hizo na hakuna maendeleo yaliyokusudiwa. Mfano ni jirani yetu Uganda ambayo ni mwanachama wa OIC na walichovuna ni kuzuka kwa kikundi cha kigaidi kinachoisumbua serikali ya Museveni na hakuna mchango wo wote wa maendeleo ambao Uganda inapata!
View attachment 3112979
Kawaulize Wapemba pale Kariakoo wanapata faida gani?
SI UNAONA WALIOTAJWA WOTE WALIVYONYAMAZA KIMYAAAAA, HUKU WAKITABASAMU KWA MBAAAALI, INA MAANA WAMEBARIKI HILO SWALA.Tatizo si Wazanzibari kujiunga na OIC.
Tatizo ni udini na na Uzanzibari aliousema Mzee. Kwamba Samia Muislam, Mwinyi Muislam, Kombo Muislam, Masauni Muislam, wote Wazanzibari, wajiunge na OIC haraka, asije rais Mkristo akaharibu mambo.
Hii ni kauli ya kubagua Watanzania kidini, kinyume na katiba za Tanzania, Zanzibar na CHADEMA.
Hivi kwa nini serikaki ya Muungano ya Tanzania ni vigumu sana kuwapa Wazanzibari kura ya maoni waamue kama wanataka kubaki kwenye Muungano ama la, iwe ya haki na huru, tujue moja onve and for all.SI UNAONA WALIOTAJWA WOTE WALIVYONYAMAZA KIMYAAAAA, HUKU WAKITABASAMU KWA MBAAAALI, INA MAANA WAMEBARIKI HILO SWALA.