Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 728
kuna nini kwenye muungano?? kinachogharimu maisha ya watu tuambieni kuna niniiii?? by SHEIKH ILUNGA HASAN KAPUNGU
Naamini Uliberali tumewaachia wazanzibari, sio mambo ya MuunganoKuguswa kwenye ukweli wa U-LIBERALI weee, utafikiri siafu kaingilia kuku. !!
Wazanzibari wengi wamesikika wakiiponda Rasimu ya Katiba Mpya iliyozinduliwa jana na Makamu wa Rais,Dr.Mohamed Gharib Bilal. Sehemu kuuw aliyoilenga ni ya uwepo wa Serikali tatu: Serikali ya Jamhuri ya Muungano waTanzania,Serikali ya Tanzania Bara na Serikali ya Zanzibar.
'Tulichotaka ni Zanzibar kuwa na mamlaka kamili na yenye vyombo vyake vyote huru vya dola kama jeshi,polisi na Mahakama.Pia tulitaka,kama kutatakiwa Muungano, basi uwe Muungano wa Mkataba. Serikali tatu hazina maana yoyote kwetu.Hatukusikilizwa.Tumepuuzwa. Hatutakubali' wamesikika wazanzibari mbalimbali walihojiwa na vyombo mbalimbali vya kimataifa kama BBC,DWna VOA jioni hii.
Ni kweli Wazanzibari hawakusikilizwa? Can we dare to let Zanzibar go now?
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam.
Mkuu Buchanan,jambo hilo liko wazi. Lakini,Wazanzibari ni wabishi sana.Sijui itakuwaje?
Ukisema Wazanzibari wana viongozi wao wanaowasikiliza unakosea unaweka Uchama pembeni. Safi kabisa.CHADEMA is not everything
sio kila kitu lazima mtu ajiunge au asapoti CHADEMA
wao Wazanzibari wana viongozi wao wanao wasikiliza
hata hilo la muungano wa mkataba limeanzishwa na watu huko Zanzibar
Kejeli hazito saidia kuunusuru muungano huu,mnapo jiona watanganyika mawazo yenu ni bora na ya waz'br sio bora hapo itakuwa huo ni muungano au ukoloni?tanganyika bila ya zanzibar inawezekana.
Mkuu pale bungeni waz'b ni 50 na kati ya hao 30 ni magamba ambayo yanafika pale kwa msaada wa huyohuyo mkoloni mweusi unategemea nn hapo?kumbuka mle wamo watanganyika 300Tatizo ni kwamba U-MAAMUMA na SITAKI NATAKA nimemitawala sana. CHADEMA imemionyesha njia sahihi ya kuuvunja Muungano mkaishia kuwazomea. Tena ndani ya Bunge. Ambapo ilikuwa ni mahali muafaka wa kukata ngebe za WAHAFIDHINA. Cha ajabu mnapokuwa na vimikutano vyenu mkiongozwa na Muasisi wa U-LIBERALI ndio vidole juu ki taarab vile. Ohhhh! hatuutaki Muungano, huku wawakilishi wenu kila siku kiguu na njia Dodoma kwenye Bunge. Si muwazuie wasiende Dodoma? Halafu hao hao ndio wamejenga mahekalu huku Bara na kuwaacha nyie na vibanda maiti vyenu.Mmeshindwa hata na wana Mtwara ambao wameamua kukomalia gesi mpaka kieleweke!!!
Mkuu pale bungeni waz'b ni 50 na kati ya hao 30 ni magamba ambayo yanafika pale kwa msaada wa huyohuyo mkoloni mweusi unategemea nn hapo?kumbuka mle wamo watanganyika 300