Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 728
kuna nini kwenye muungano?? kinachogharimu maisha ya watu tuambieni kuna niniiii?? by SHEIKH ILUNGA HASAN KAPUNGU
Binafsi huwa napata shida sana labda mnisaidie kuna uhusiano gani kati ya uzanzibari na uislam Huyu Ilunga sio mzanzibari lakini alikuwa anakaribishwa miskitini Zanzibar na kutoa mihadhara ya kuvunja muungano na uchochezi wa chuki kwa wakristo.