Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Mamlaka ni wananchui, wao wananchi wanasemaje?Nimekutana na hii video Vijana wa Kitanganyika walitakiwa kuonyesha vitambulisho vya Uzanzibari kama hawana wanapoteza kazi.
View attachment 3610977
Hadi muwe na akili, bila akili mnaona sawa tuu.Watanganyika wakitangaza kuwafukuza Wazanzibari itakuwaje
Mnasubiri nini kuwafukuzaWatanganyika wakitangaza kuwafukuza Wazanzibari itakuwaje
Hata mandali/wandali akina Mwashambwa,aibu sanaUnalikuta linyamwezi kutoka vichakan uko linamuuita yule muuaji mama mama
Naunga mkono hoja , sisis ndio Wenye shida na muungano na tuliuunda wacha kitulambeSafi sana fukuza kabisa Watanganyika hao hawajitambui. Piga bakora kabisa.
Wanasubiri nini kuwafukuza wakati wao tayari wanafukuzwa huko.Watanganyika wakitangaza kuwafukuza Wazanzibari itakuwaje
Tunakoenda ni kuzuri sana.Tunakoenda ni kubaya
Itakuwa mbaya sanaWatanganyika wakitangaza kuwafukuza Wazanzibari itakuwaje
Hata hizo tensions zisipoondolewa kuna nini mnaweza fanya?. Mbona wameweza kufanya makubwa uko nyuma bila kustage matukio ili kuvuruga tensions za watu!Akili yangu inaniambia hapa ugomvi wa kisiasa unatengenezwa kimakusudi kati ya Zanzibar na Tanganyika, ili kuondoa attention mbalimbali zinazoendelea kwenye nchi yetu.
Kwenye vita kila mbinu inatumikaHata hizo tensions zisipoondolewa kuna nini mnaweza fanya?. Mbona wameweza kufanya makubwa uko nyuma bila kustage matukio ili kuvuruga tensions za watu!
Kwamba watu wakichukiana itawasaidia Watanganyika wampende Samia wasidai Tundu Lissu aachiwe ?Akili yangu inaniambia hapa ugomvi wa kisiasa unatengenezwa kimakusudi kati ya Zanzibar na Tanganyika, ili kuondoa attention mbalimbali zinazoendelea kwenye nchi yetu.
Ccm si wajinga watumie silaha yoyote kwa Adui wanaemmudu.Kwenye vita kila mbinu inatumika
Wapumbavu wa lissu mna chuki na mtu mpaka mnashindwa kuuficha upumbavu wenu?!!🤣🤣🤣Halafu huku Bara kuna majitu yako busy kumlinda yule mtu