Wazanzibari waanza kufukuza Watanganyika, Tazama hii video. Mamlaka husika zisikae Kimya

Wapumbavu wa lissu mna chuki na mtu mpaka mnashindwa kuuficha upumbavu wenu?!!🤣🤣🤣

Kawadanganyeni mafala wenzenu lakini kwa great thonker hawezi kukurupuka tu kwenye huu ujinga wenu bila kutafakari. Tunajuane kama huyo kijana anasema kweli?!!! Kwanini hajahojiwa msimamimizi yeyote wa hiyo kazi tusikie na upande wa pili?!!!

Chadema ajenda yenu hii itakufa kama zilivyokufa zingine za kingesengese mlizowahi kuzianzisha.
Kwanini raia akiwa differ na mawazo yenu, mnawaona ni chadema au wako nyuma ya lissu?
 
Safi sana....wazanzibar fukuza hawa watanganyika wote waje kwao huku!.... Kila mmoja adai haki zake akiwa kwao!.
 
Wapumbavu wa lissu mna chuki na mtu mpaka mnashindwa kuuficha upumbavu wenu?!!🤣🤣🤣

Kawadanganyeni mafala wenzenu lakini kwa great thonker hawezi kukurupuka tu kwenye huu ujinga wenu bila kutafakari. Tunajuane kama huyo kijana anasema kweli?!!! Kwanini hajahojiwa msimamimizi yeyote wa hiyo kazi tusikie na upande wa pili?!!!

Chadema ajenda yenu hii itakufa kama zilivyokufa zingine za kingesengese mlizowahi kuzianzisha.
Huyu hakusema kweli ila mbunge Simai na yule waziri wa afya wa Zanzibar walisema ukweli mtupu.
 
Wapumbavu wa lissu mna chuki na mtu mpaka mnashindwa kuuficha upumbavu wenu?!!🤣🤣🤣

Kawadanganyeni mafala wenzenu lakini kwa great thonker hawezi kukurupuka tu kwenye huu ujinga wenu bila kutafakari. Tunajuane kama huyo kijana anasema kweli?!!! Kwanini hajahojiwa msimamimizi yeyote wa hiyo kazi tusikie na upande wa pili?!!!

Chadema ajenda yenu hii itakufa kama zilivyokufa zingine za kingesengese mlizowahi kuzianzisha.
Nani ataweza kumuhoji msimamizi hapo wakati mtoa taarifa naye ni kibarua. Nadhani baada ya taarifa hii mamlaka ndio inatakiwa kukanusha. Pili aliyerekodi anaongea kwa sauti kubwa kiasi kwamba wanaorekodiwa wanamsikia kama angekuwa anaongea uongo kungekuwa na hali tofauti kwa wanaorekodiwa.

Nadhani wewe ni great thinker utakuwa umeona hizo hoja zangu kwa mtazamo chanya.
 
Wabunge watanganyika wamesema hakuna ubaguzi zanzibar.Tuna rais na bunge la hovyo sana awamu hii
 
Halafu huku kuna mijitu iko bize kuua watanganyika wenzao kwa ajili mama wa kizimkazi zanzibar
 
Back
Top Bottom