wazanzibari walitumia ubovu wa katiba kulipa kisasi Cha miaka mingi October 29!

RESILIENT KATO

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2024
Posts
4,504
Reaction score
8,842
Ukweli mchungu huu!

Sikumbuki ni uchaguzi upi uliwahi kufanyika Zanzibar kwa amani bila damu kumwagika zaidi ya ule wa mwaka jana pekee!!

Kwa miaka mingi damu za wazanzibari zimemwagwa sana kipindi cha uchaguzi ,na Baraza la maaskofu liliishia TU kulaani na kukaa kimya kisa aliekuwepo alikua Tanganyika mwenzao!!

Mwaka Jana wazanzibari wakatumia katiba ile ile kulipa kisasi na wamefurahi ndio maana hakuna aliewajibika Wala kuomba samahani kwa yaliyotokea na hakuna atakaetokea,kutakua na ngonjera ngonjera TU na vijimaneno lakini uwajibikaji hautokuwepo coz kisasi kimeshalipwa!!

Wakati wa mauaji ya wazanzibari mwaka 2001 mkapa akiwa madarakani ,aliomba msamaha!!? TEC mlidai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi!!?mlifanya vugu vugu kama hili lilopo sasa nchini kwa ajili ya wazanzibari waliouawa !!?naamini Kuna wahanga Hadi Leo Bado wapo wanaweza kusimulia!!

TEC mnapaswa mkumbuke mambo haya ni mbegu ya chuki ya siku nyingi sana mliyopanda kupitia waumini wenu ambao walipata bahati ya kuwa viongozi na katiba hamkudai na sasa Ike mbegu inazaa matunda ndio haya Hadi kina padri kitima wananusurika kifo!!

Ukweli usemwe wazi wazanzibari wamelipa kisasi chao cha damu cha miaka mingi sana,najua hakuna anaeliona hili lakini Mimi nimeliona!hakuna kipindi ambacho wazanzibari wamekua wenye furaha kama kipindi hiki!

Hebu tusonge mbele kama ilani yetu isemavyo!!
 
TEC ni wafanyabiashara kama Mo na Bakhresa , TEC watoto wa juzi tu hapo hata uwaweke na wazee wa kilwa hapo wapigwa chini . TEC ni wa kawaida sana hata mazungumzo ya juzi waliomba wao .kiufupi .jamaa wanatembelea na zile porojo zao kwamba wana nguvu duniani ila waoga tu .

Hilo baraza la juzi tu hapa , linaundwa wazee wanaliona , ni wafanyabiashara wakubwa , ukitumia akili utaona hawana kipya . Serikali iliwaonesha kwamba ina nguvu kuliko wao , ishu kubwa chanzo ni kule bandari , wakati uwekezaji ulikuwepo miaka mingi ila shida yao ni ''mwarabu'' tu ..Hao wa kawaida sana , kitima huyo alileta maigizo hamna kipya , wakuitisha serikali ni wale mashekhe wa uhamsho ila hao wapewa bahasha , wakibanwa kwenye k kulipa kodi watakimbia ..Taasisi zao hazina uadilifu , wafanyakazi wanakosa stahiki huko kwenye mashopital yao , uliona wapi serikali watu wakalilia stahiki za msingi kama mishahara , wanakusanya pesa ndefu ila ukifanya kazi kwenye taasisi zao ni hovyo .

Wenywe sio waadilifu , wazee wa kuweka pesa mbele ,wanawezaje kukosoa serikali? waulize tu baadhi ya hospital kama KCMC , matibabu juu ila stahiki hawatoi vizuri , kama wanaenda kuua hiyo miradi , wanjali pesa kuliko utu .​
 
😢
 
Back
Top Bottom