TEC ni wafanyabiashara kama Mo na Bakhresa , TEC watoto wa juzi tu hapo hata uwaweke na wazee wa kilwa hapo wapigwa chini . TEC ni wa kawaida sana hata mazungumzo ya juzi waliomba wao .kiufupi .jamaa wanatembelea na zile porojo zao kwamba wana nguvu duniani ila waoga tu .
Hilo baraza la juzi tu hapa , linaundwa wazee wanaliona , ni wafanyabiashara wakubwa , ukitumia akili utaona hawana kipya . Serikali iliwaonesha kwamba ina nguvu kuliko wao , ishu kubwa chanzo ni kule bandari , wakati uwekezaji ulikuwepo miaka mingi ila shida yao ni ''mwarabu'' tu ..Hao wa kawaida sana , kitima huyo alileta maigizo hamna kipya , wakuitisha serikali ni wale mashekhe wa uhamsho ila hao wapewa bahasha , wakibanwa kwenye k kulipa kodi watakimbia ..Taasisi zao hazina uadilifu , wafanyakazi wanakosa stahiki huko kwenye mashopital yao , uliona wapi serikali watu wakalilia stahiki za msingi kama mishahara , wanakusanya pesa ndefu ila ukifanya kazi kwenye taasisi zao ni hovyo .
Wenywe sio waadilifu , wazee wa kuweka pesa mbele ,wanawezaje kukosoa serikali? waulize tu baadhi ya hospital kama KCMC , matibabu juu ila stahiki hawatoi vizuri , kama wanaenda kuua hiyo miradi , wanjali pesa kuliko utu .